TANZIA: Katibu wa CHADEMA Manyoni Mashariki, Alex Jonas auawa kwa kukatwakatwa mapanga

Hasa wa vyama vingine.
 
Why don't you just call a spade a spade? Instead of saying "kama wewe ni mwanasiasa" just say "kama wewe ni mwanasiasa wa upinzani, especially CHADEMA". Very weak ass people here afraid of the ruling party.
 
Ndo maana mie upenzi wa chama ninachokipenda uko moyoni na siku ya kutwanga kura huwa nawabamiza kwenye sanduku ya kura.
Soo sad atakaye lia kwa uchungu ni mama yake na baba yake.
 
Unauhakika?? Au na ww unatafuta kk ukamatwe useme umeonewa?? Acha ubulula kwa kitu ambacho hukijuw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilawewe utakuwa na shida ! Tena kubwa, kwahiyo ccm ndo imemuua? Hakiri ndogo sana.

Poleni sana wafiwa.
 
Mkuu John! Mleta mada hakuna alipoandika neno ' yametokea'. Msome vzr. Ufafanuzi hutolewa na polisi wetu. Tuombee amani ya nchi yetu tuu, ushabiki wa kisiasa uwekwe pembeni.

..POLISI hawa ambao wanasema " kidumu chama cha mapinduzi, kidumu milele. "?

..POLISI hawa wanaodhalilisha viongozi wa vyama vya upinzani?

..Polisi na Mahakama wanatakiwa wawe NEUTRAL.

..CCM wanahatarisha na kuhujumu amani yetu kwa kujifungamanisha na mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Pole sana mpambanaji popote ulipo /pole nyingi kwa Familia /poleni wana Chadema wote na wale wote walio guswa na Msiba huo.

R.I.P. Ndugu yetu Alex Jonas.
 
Kwani kauliwa na CCM? Hivi nyie hata mgepewa nafasi ya kutawala nchi hii mngekuja na watu wenu?
Tofautisha kutawala na kuongoza! Chama Cha siasa hakitawali Bali huongoza hasa kwa nchi za kidemokrasia! Cdm unatafuta ridhaa ya kuongoza na sio kutawala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…