Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
1,952
Reaction score
939
Wana JF baba yangu kipenzi amefariki naomba maombi. Atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kesho tarehe 18 Juni 2013. Makaburi ya zamani Kinondoni saa 10 jioni. Baba V, KOKUTONA, Arushaone ....... Waitu nywena nakwatwa ninshaba munshabile.

Daddy! "I don't regret for the things I've done, I only regret for the things I didn't do when I had the chance"
 

Attachments

  • image.jpg
    64.7 KB · Views: 439
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu kwa msiba ulioupata.
Yegumisilize waitu, Katonda yamwenda muno.
 
Poleni sana familia ya wafiwa kyanaKyoMuhaya, Mwenyezi Mungu aliyempenda zaidi baba yetu marehemu na kumuita kwenye makazi yake ya milele awape nguvu ya kumsindikiza katika safari yake ya mwisho hapa duniani.

R.I.P baba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…