Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Pole sana ndugu yangu. Mungu akupe nguvu ya kuvumilia msiba huu mkubwa. Kwake yeye tulitoka na hakika kwake tutarejea.
 
Ni pigo kubwa lisiloelezeka lakini kwa uwezo wa Mungu utaweza kuyashindfa majaribu. Pole sana na Mungu akujaze moyo wa subira na uvumilivu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana kyanaKyoMuhaya kwa msiba huu mzito mno.Namwombea mzee wetu apumzike kwa amani huko alikoitwa kwenye makao ya milele
Tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Wana JF baba yangu kipenzi amefariki naomba maombi. Atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kesho tarehe 18 Juni 2013. Makaburi ya zamani Kinondoni saa 10 jioni. Baba V, KOKUTONA, Arushaone ....... Waitu nywena nakwatwa ninshaba munshabile.

Daddy! "I don't regret for the things I've done, I only regret for the things I didn't do when I had the chance"

poleni zenu wanafamilia kwa kumpoteza kipenzi chenu baba mzazi wenu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom