Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Wana JF baba yangu kipenzi amefariki naomba maombi. Atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kesho tarehe 18 Juni 2013. Makaburi ya zamani Kinondoni saa 10 jioni. Baba V, KOKUTONA, Arushaone ....... Waitu nywena nakwatwa ninshaba munshabile.

Daddy! "I don't regret for the things I've done, I only regret for the things I didn't do when I had the chance"

Ni miongoni mwa nyakati ngumu sana kwa mwanadamu yeyote losing a parent.. MUNGU awape nguvu na awe ndie mfariji wenu mkuu... Tupo pamoja
 
Last edited by a moderator:
wana jf baba yangu kipenzi amefariki naomba maombi. Atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kesho tarehe 18 juni 2013. Makaburi ya zamani kinondoni saa 10 jioni. baba v, kokutona, arushaone ....... Waitu nywena nakwatwa ninshaba munshabile.

daddy! "i don't regret for the things i've done, i only regret for the things i didn't do when i had the chance"

kaziroo, mpora!!!!
 
...pole KyanakyoMuhaya
attachment.php
 
Back
Top Bottom