Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Pole sana ndugu yangu. Mungu akupe nguvu ya kuvumilia msiba huu mkubwa. Kwake yeye tulitoka na hakika kwake tutarejea.
 
Ni pigo kubwa lisiloelezeka lakini kwa uwezo wa Mungu utaweza kuyashindfa majaribu. Pole sana na Mungu akujaze moyo wa subira na uvumilivu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole sana kyanaKyoMuhaya kwa msiba huu mzito mno.Namwombea mzee wetu apumzike kwa amani huko alikoitwa kwenye makao ya milele
Tupo pamoja.
 
Last edited by a moderator:

poleni zenu wanafamilia kwa kumpoteza kipenzi chenu baba mzazi wenu..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amina.Bwan alitoa,bwana ametwaa,jjn lake lihimidiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…