Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

pole sana sana na Mungu akufariji na awafariji wote wafiwa, mshukuru Mungu kwa kila jambo
 
Pole sana mkuu Mungu wetu Mwema ampokee baba na kumpunzisha mahala pema pia akupe nguvu wewe pamoja na familia kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu.
 
"Bwana Mungu ametoa, Bwana Mungu ametwaa, jina la Mungu lihimidiwe" Pole sana ndg hii ndiyo safari yetu sote ila tumwombee baba kwa kuwa ametangulia ili mungu amrehemu.
 
Inna Lillahi wa Inna Illahi Rajjun... pole sana dear, Mungu akupe nguvu ya kushinda uchungu wa kipindi hiki.
 
Pole sana mkuu Mungu akupe nguvu zaid na awatie moyo katika kipindi hiki kigumu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Pole sana kyanaKyoMuhaya.bwana alitoa bwana ametwaa.jipeni moyo na faraja kipindi hiki kwani sisi dote huko ndipo tuendako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…