Tanzia: KyanakyoMuhaya nimempoteza baba mzazi

Mhh kweli wakwatwa mukuru chonka omukama amwebembele mara abatunge amagala omubujune obu ..poleni nyote,poleni sana!
 
Pole sana kwa msiba uliokukuta Mungu awape faraja na aipumzishe roho ya marehemu mahala pema peponi
AMEN.
 

Although it's difficult today to see beyond the sorrow, may looking back in memory help comfort you tomorrow
 
Mkuu kyanaKyoMuhaya pole sana kwa msiba wa baba
Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki na vile vile ampumzishe baba yetu mahali pema
Pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Waitu mpola muno ne ebyemba, oyegumisilize! Omukama akuwe amani
 
Mpendwa kyanaKyoMuhaya, pole sana dadangu. Najua ni maamuzi ya MUNGU kumleta baba yetu hapa duniani kama ilivyo alimchukua kwa uamuzi wake. Tunakuombea upate faraja na uvumilivu kipindi hiki kigumu.

TUKO PAMOJA MKUU.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu, pole kwa familia nzia nzima

Mungu mpe baba pumziko la milele...... Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…