KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Kama kila mtu ataandika RIP itakuwa nini, hata kwenye misiba huwa kuna mawaidha ya kutuonya tuliobaki, kwahiyo Paschal yuko sahihi kabisa kutuonya tupunguze uzito.hiyo ni km kuelekeza lawama kwa marehem juu ya maisha yake kwa kutokuwa muangalifu juu ya afya, haipendez, ilitosha tu kusema RIP
Na kwa akili zetu za kiafrika tunafikiri unene ndio afya.Ndio,obesity ni bad news kwa afya.
Mazoezi ya mara moja kwa mwezi hayana faida yoyote kiafya zaidi ya kupoteza muda na fedha. Kiafya mazoezi yanatakiwa kufanyika kila siku, au angalau mara tatu kwa wiki.Ivi yale mazoezi ya kila mwisho wa mwezi nchi nzima yaliishia wapi!
Leonidas Gama alikuwa Kiongozi wa mbio za mwenge , na alifungua kituo cha kwanza cha Polisi kidogo hapa Dodoma miaka ile ya Mrema...duh...ni lile limwili....sipati picha mshindo wa kuanguka na uzito ule......nafasi ya ubunge hiyo upinzani wachangamkie....RIP mbunge....
Roho za aina hii sijui mnazipata wapi!!?..duh...ni lile limwili....sipati picha mshindo wa kuanguka na uzito ule...haya maisha yana mwisho....maana hatujui lini israel atakuja kuchukua kilicho chake....sidhani kama wengi wanalijua hili huko ccm wenye mavitambi na roho mbaya zenye chuki mithili ya kutaka wenzao wa upinzani wafe....nafasi ya ubunge hiyo upinzani wachangamkie....RIP mbunge....
Ndo huyooo[emoji2] [emoji125] [emoji125]Ni yule aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro? R.I.P Mr Gama
Wangedondoka hata 20 wa ccm ingependeza zaidi
Wangedondoka hata 20 wa ccm ingependeza zaidi
Roho za aina hii sijui mnazipata wapi!!?