TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

RIP mh,pole sana familia na wafiwa wote. Sote safari yetu ni moja, tofauti ni muda tu!
 
Kwa hiyo sisi Wanene tutakufa kwa kuanguka??, namaanisha Mshituko?.
Mpo kwenye risk hiyo,fanyeni mazoezi na mle mlo usiokuwa na mafuta wala sukari.kula sana mboga za majani,kula matunda kwa sana
 
nafikiri atakuwa aliongea kitu kuhusu ngoyai lowasa
waliomsema vibaya lowasa haifiki 2020 watakufa wote na bado
Kati ya watu wenye utindio wa ubongo na wewe ni mmoja wao. Umungu wa Lowasa ni hukohuko kanda ya kwenu. Sisi kwetu ni shetani tu huyo.
 
Pumzika kwa amani Gama. Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina.

Mmmmmh! Mafundi seremala walibuni mradi wa kuchonga "vizikio" tayari tayari, ila kwa hapa itabidi kuunda lingine jipya kabisa wakiwa na vipimo sahihi.
 
R.I.P Mh.GAMA kama sikosei aliwahi kuwa kiongozi wa mbio za mwenge miaka ya 80
 
RIP Leonodas Gama!
Pole Muyanga na familia kwa ujumla. Mungu awape wepesi katika kipindi hiki kigumu.
 
Jiandae ukiwa hai kuishi maisha mema yanayompendeza Mungu.ukiishi maisha ya ovyo maisha ya dhambi jua tu kwamba wewe ukifa ndio mwisho wako maana Huna matumaini ya maisha ya baadae.ishi vizuri na watu Leo. Fuata amri kumi za Mungu Fuata maagizo ya Mungu.Lakini haiwezekani uishi maisha ya hovyo ya dhambi kisha unajifariji kuwa utalala mahali pema peponi hakuna kitu kama hicho.
Mkuu Mungu akubariki kwa kuwa mkweli,unajua niseme na walio hai kwani mtu akifa huyo hahitaji kuhubiriwa.
Ndugu zangu kwa kifupi ukiwa hai unachagua mwenyewe utaenda wapi baada ya kifo ,hii inatokana na jinsi unavyoishi.Kama ukiishi maisha ya kumpendeza Mungu safi lakini kama utafuata njia zako mwenyewe kuna sehemu utapelekwa.Kwa hiyo kwa kifupi,sehemu gani uataenda baada ya kifo,ni wewe mwenyewe unachagua ukiwa hai.Nimeshangaa humu mtu anadhani ukiambia RIP nyingi basi unaingia mbinguni,hata watu wasemeje ukweli unabaki kati ya marehemu na Mungu wake wakati anakufa alikuwa na hali gani au mahusiano gani na Mungu wake.
Kwa hiyo tuache kujilisha upepo,siku hizi naona watu wanaelimika kidogokidogo wanasema "Mungu amweke mahali anakostahili" hawa nakubaliana nao.
Karibuni mmpokee Yesu wakati mkiwa hai,na kama unataka kumwombea ndugu yako kwa kweli mwombee akiwa hai Mungu amsaidie au amrehemu akisha kufa ukimwombe kwa kifupi umechelewa.
 
Poleni wana familia,jimbo na CCM kwa ujumla.Raha ya milele umpe Ee Bwana; Na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa Amani;Amina
 
Namkumbuka akiwa RC wa Mkoa wa Kilimanjaro, he was a heavyweight, tufike mahali viongozi wetu wenye uzito mkubwa hadi kuwa threath kwa afya na maisha yao, waingizwe kwenye weigh loss program za lazima kwa usalama wao!.

NB. Hii sio sababu ya kifo hiki but ni just thinking aloud kuhusu vifo vya ghafla vya watu na viongozi wetu wenye uzito mkubwa akiwemo Capt. John Komba.

RIP Mhe. Leonidas Gama
hiyo ni km kuelekeza lawama kwa marehem juu ya maisha yake kwa kutokuwa muangalifu juu ya afya, haipendez, ilitosha tu kusema RIP
 
hiyo ni km kuelekeza lawama kwa marehem juu ya maisha yake kwa kutokuwa muangalifu juu ya afya, haipendez, ilitosha tu kusema RIP
Hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa mkweli toka ndani ya nafsi zetu, sijamsema marehemu bali nimetolea mfano ili kumtumia as a study kwa waliobakia kuzuia kupoteza viongozi na watu wetu kwa sababu zinazozuilika.

Watanzania hatuna utamaduni wa kucheki afya zetu mpaka mtu augue, hii inapelekea kupoteza watu wetu wengi kwa sababu ambazo zinazozuilika.

Kuzuia ni bora kuliko katibu na heri lawama kuliko fedhea ya msiba.

P
 
Back
Top Bottom