!
!
Kama ni hivyo sawa.
Mbona mtu akichapia kiswahili huwa hamu mind. Anyway RIP BONGE la mtu GamaStroke
lakini una habari kama alikuwa ni bonge la mtu...jitu la miraba minne? kama pepekalleSemeni yote mtakayosema lakini mutambuwe kuwa kifo cha mmoja wetu ni somo/waadhi kwa tuliyobakia.Maneno kama vile RIP..../alikuwa.....,alikuwa........... nk,hayana msaada tena kwake.Yatakayo msaidia ni yale mema aliyeyatenda alipokuwa hai.
KUMCHA/KUMUABUDU MWENYEZIMUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA.
Pole sana Lizaboni daah punguza mdomo ona kipenziyo kafa kabla ya Liwassa uliyemtusi
Mmh, hata kina mnyika?!waliomsema vibaya lowasa haifiki 2020 watakufa wote na bado