Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,840
- 11,784
Lemutuz anaonekana kujimudu (active), wengine unawaona kabisa wanataabika kwa kuzidiwa uzito.Kwa hio lemutuz achukue tahadhari
Lemutuz anaonekana kujimudu (active), wengine unawaona kabisa wanataabika kwa kuzidiwa uzito.Kwa hio lemutuz achukue tahadhari
Ila hapa hapana!imani yangu haijawahi kunifundisha hivo.kwakua unaamin sawa mkuu.ngoja niendelee kumsubir YESUNilipata kusikia hadithi za kale kwamba ikiwa mtu alikuwa mwema duniani akifa nafsi yake huingia kwa kiumbe kingine mathalan mtoto mdogo ila hufutwa kumbu kumbu zote kwamba aliwahi kuishi, ila kama mtu hakuwa mwema akifa nafsi yake humwingia kiumbe kingine kisicho binadamu na kumbu kumbu kwamba aliwahi kuishi hazifutwi...tunajisumbua tu kwa kumtakia pepo mwanasiasa, ni ukweli mchungu kwamba katika kundi la wanasiasa 1000 ni mwanasiasa sifuri atakayeionja pepo ya Mwenyezi Mungu!
Anakuja kufanyaje? Uliwahi kusikia wapi na lini Wanyaturu tumeongozwa na Mnyiramba, tena mpmbv wa kiwango cha Kitila Mkumbo? Labda kanisaniMkumbo singida kaskazini, ww Masha unaonaje ukienda songea kwa tikitii ya ccm? Rip Gama