TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

nahisi unene ulizidi..mungu ailaze roho yake mahali pema.
 
Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu
Umesoma pale pa NB:
 
Tusiogope kuelimishana, kila nafsi itaonja mauti. Lakini ni kwa wakati gani na ni kwa vipi ni muhimu sana. Kwa kila binadamu lazima azingatie mambo muhimu ya afya ili kupunguza maradhi yanayopelekea vifo vya haraka km watoto na vijana. Mambo mengine yapo ndani ya uwezo wetu, tufanye wajibu wetu halafu tumwachie Mungu yaliyo yake.

Tuelimishane, ili tusiendelee kupoteza watu muhimu ktk taifa letu. Kuna kasumba ya huku Afrika/TZ kuwa mtu akishakuwa kiongozi haswa wanasiasa basi wananenepa kupita kiasi. Mbona hii hali haiwapati wanasiasa wa nchi za magharibi?Tuelimishane, tujue athari na tuzuie haya vifo maradhi na vifo vya ghafla.

R.I.P wa kunyumba
 
Back
Top Bottom