TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

Jiandae ukiwa hai kuishi maisha mema yanayompendeza Mungu.ukiishi maisha ya ovyo maisha ya dhambi jua tu kwamba wewe ukifa ndio mwisho wako maana Huna matumaini ya maisha ya baadae.ishi vizuri na watu Leo. Fuata amri kumi za Mungu Fuata maagizo ya Mungu.Lakini haiwezekani uishi maisha ya hovyo ya dhambi kisha unajifariji kuwa utalala mahali pema peponi hakuna kitu kama hicho.
 
Pia Ajali ya Noah na haice yaua zaidi ya 7 Ikungi, Singida. Maharusi na wengine.
RIP wote

Jamani, RIP watanzania wenzentu.

Afya njema kwa majeruhi

Poleni sana familia za wafiwa wote (mbunge na huko mkoani Singida)
 
Jiandae ukiwa hai kuishi maisha mema yanayompendeza Mungu.ukiishi maisha ya ovyo maisha ya dhambi jua tu kwamba wewe ukifa ndio mwisho wako maana Huna matumaini ya maisha ya baadae.ishi vizuri na watu Leo. Fuata amri kumi za Mungu Fuata maagizo ya Mungu.Lakini haiwezekani uishi maisha ya hovyo ya dhambi kisha unajifariji kuwa utalala mahali pema peponi hakuna kitu kama hicho.
haya watawala wanayowafanyia wapinzania, kesho wafe eti RIP, NO sema RIA= rest in agony
 
Namkumbuka akiwa RC wa Mkoa wa Kilimanjaro, he was a heavyweight, tufike mahali viongozi wetu wenye uzito mkubwa hadi kuwa threath kwa afya na maisha yao, waingizwe kwenye weigh loss program za lazima kwa usalama wao!.

NB. Hii sio sababu ya kifo hiki but ni just thinking aloud kuhusu vifo vya ghafla vya watu na viongozi wetu wenye uzito mkubwa akiwemo Capt. John Komba.

RIP Mhe. Leonidas Gama
Kaka Pasco huku kwetu Afrika unene ni afya pia chambo cha kuvutia totoz....(utani)
Pole kwa familia ya Mh Gama
 
Biblia katika kitabu cha Zaburi kinasema sisi wanadamu siku zetu za kuishi ni miaka sabini na kama una nguvu ni miaka themanini na Biblia inasema Bwana atufundishe kujua kuhesabu siku zetu ili tuwe na moyo wa hekima.Bila shaka hii ni hesabu rahisi kabisa kujua.Ukiwa na miaka hamsini sasa jua umebakiwa na miaka ishirini ya halali ya kuishi na moyo wa hekima ni kujua kuwa utakufa kwa hiyo ishi kumtegemea Mungu ishi maisha safi sio kuishi maisha ya ufisadi ulevi na uasherati kisha utegemee kuwa utalala mahali pema peponi unajidanganya.
 
Sisi wajibu wetu ni kuwapa pole wafiwa kwa kumpoteza mwenzao.lakini kuhusu marehemu hatujui hatima yake anaejua ni mwenyezi Mungu pekee.
 
Namkumbuka akiwa RC wa Mkoa wa Kilimanjaro, he was a heavyweight, tufike mahali viongozi wetu wenye uzito mkubwa hadi kuwa threath kwa afya na maisha yao, waingizwe kwenye weigh loss program za lazima kwa usalama wao!.

NB. Hii sio sababu ya kifo hiki but ni just thinking aloud kuhusu vifo vya ghafla vya watu na viongozi wetu wenye uzito mkubwa akiwemo Capt. John Komba.

RIP Mhe. Leonidas Gama
Upo sahihi huyu jamaa alikuwa mnene sana

mpaka mimi nilikuwa nikimtazama naogopa
 
Upo sahihi, lakini anayehukumu ni aliyetuumba.
Tatizo ni unarejeaje? Kurejea haina shida, we will all follow suit, ni unarejea, umeacha maumivu/ukatili/ uonevu/mauaji kiasi gani/dhuluma kwa wangapi na aina gani/Neema/ upendo gani NYUMA
 
Namkumbuka akiwa RC wa Mkoa wa Kilimanjaro, he was a heavyweight, tufike mahali viongozi wetu wenye uzito mkubwa hadi kuwa threath kwa afya na maisha yao, waingizwe kwenye weigh loss program za lazima kwa usalama wao!.

NB. Hii sio sababu ya kifo hiki but ni just thinking aloud kuhusu vifo vya ghafla vya watu na viongozi wetu wenye uzito mkubwa akiwemo Capt. John Komba.

RIP Mhe. Leonidas Gama

Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu
 
Back
Top Bottom