Eeh!Pia Ajali ya Noah na haice yaua zaidi ya 7 Ikungi, Singida. Maharusi na wengine.
RIP wote
Sio chanzo cha kutokufa.Semeni yote mtakayosema lakini mutambuwe kuwa kifo cha mmoja wetu ni somo/waadhi kwa tuliyobakia.Maneno kama vile RIP..../alikuwa.....,alikuwa........... nk,hayana msaada tena kwake.Yatakayo msaidia ni yale mema aliyeyatenda alipokuwa hai.
KUMCHA/KUMUABUDU MWENYEZIMUNGU NI CHANZO CHA MAARIFA.
hahahakwa vile ni binadamu RIP!
Mazoezi sio dawa ya kuzuia kufa.Mazoezi ni muhimu jamani hivi ile kampeni ya Samia iliishia wapi?.
Mmh, hata kina mnyika?!waliomsema vibaya lowasa haifiki 2020 watakufa wote na bado
Mkuu Yusujo, naomba unisome tena halafu unieleze umenielewaje?. Kwani mimi nimesema sababu ya kifo?.Paskal-kwa mtu kama wewe ni vyema ukajaribu kukwepa "value judgement" za aina hii. Vifo vya gafla hutokeo kwa watu wote wanene, wembamba, na wa wastani. Taarifa ya daktari ndiyo inaweza kudhibitisha pasipo shaka sababu ya kifo cha mtu
Kila mtu atakufa kwa kifo chake Mkuu, so nikumuachia MUNGU.ule mwili lazima ungemletea athari,RIP
Ha ha ha, Acha povu mkuu... Nadhani unaijua ccm ilivyo na kukurupuka kwao..Anakuja kufanyaje? Uliwahi kusikia wapi na lini Wanyaturu tumeongozwa na Mnyiramba, tena mpmbv wa kiwango cha Kitila Mkumbo? Labda kanisani
Kwa hiyo sisi Wanene tutakufa kwa kuanguka??, namaanisha Mshituko?.Rest in peace.Kwa huo mwili risk ya kufa mapema ilikuwa kubwa.
apumuzi kwa amani