TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

Safi.Mwenyezi Mungu amuweke mahali pale panapostaili wale jamaa


Swissme
How safi? Mh! ngoja waje wajuaji utatoka mkuku!
SAFI hapana ila tujitafakari na hili: Tatizo ni unatanguliaje? Kutangulia haina shida, we will all follow suit, ni unatanguliaje, umeacha maumivu/Neema/ upendo gani NYUMA
 
Acha mambo zako Wewe kwani unene unakuja tu wenyewe bila yeye kufanya vitu vinavyouleta..... Sasa kama unataka watu wanene wawekewe program za lazima iliwapunguze unene.... Wale raia wanaokufa kwa kukosa mlo angalau mmoja wanakuwa wembamba kama fito kwann usiishauri serikali iwawekee program YA kupewa maziwa, blueband na Unga wa lishe Kila mwez ofisi za serikali iliwaimarishe afya zao.... Usije kusema Jamaaa aliridhika tu unene ukawa unakuja tisidanganyane junk food inachangia
 
Kwa hiyo sare ya kijani atangulie tuu
Ni tiketi ya moja kwa moja jehanamu.
 
SISI SOTE KWAKE TUTAREJEA.
Tatizo ni unarejeaje? Kurejea haina shida, we will all follow suit, ni unarejea, umeacha maumivu/ukatili/ uonevu/mauaji kiasi gani/dhuluma kwa wangapi na aina gani/Neema/ upendo gani NYUMA
 
Hizi imani ya kupumzika mahali pema peponi si sahihi hakuna sehemu kama hiyo.soma biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunuo hakuna sehemu kama hiyo.ukifa unazikwa maana biblia inasema ulitoka kwa udongo utarudi kwa udongo.Napenda niwaambie wote Leo sisi ni udongo tu na tutarudi kwa udongo.Kwa wale walioishi maisha ya kumpendeza Mungu wanamatumaini ya kufufuliwa Yesu anapokuja mara ya pili hapa duniani.kwa hiyo hizo habari ya mahali pema peponi ni uongo tu was shetani.hakuna sehemu hiyo popote mbinguni wala Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…