Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamegongana wapi rafu ya dhahiri kabisa ile. R.I.PMchezaji wa mbao FC, Ismail Khalfani Mrisho afariki baada ya kugongana na mchezaji wa Mwadui FC kwenye mtanange uliochezwa uwanja wa Kaitaba, Bukoba kwa wachezaji walio chini ya miaka 20 (U20).
View attachment 442735
Photo Credit; Faustine Ruta
==================
UPDATE
Mechi hiyo ilikuwa inachezwa kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako michuano ya vijana chini ya miaka 20 inaendelea.
Ismail aligongana na beki wa Mwadui FC wakati wakiwania mpira na kuanguka na juhudi za kuokoa maisha yake zilionekana kukakwama.
Wakati mauti yanamkuta Ismail, dakika chache kabla alikuwa amefunga bao dhidi ya Mwadui.
Pamoja na kukimbizwa hospitali ya Rufaa ya Kagera, taarifa baadaye zilizopatikana zilieleza, Ismail alifariki palepale uwanjani.
On behalf of myself and the people of Ilembula,.. We say R. I. POn behalf of myself and the people of Korinto,
May God put his soul in a perfect place!
Na wale waliompa huduma ya dharura ni majanga pia!jamaa alifariki pale miguu ilipoanza kutetemeka! Pale ndio roho ilikuwa inaachana na mwili [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Wakati akishangilia goli lake kuna style aliitumia,Nadhani inaweza kuwa imechangia kwa kiasi fulani lakini yote kwa yote Mungu ndiye ajuae siri ya kifo,Na hakuna ajuae R.I.P. Ismail.
Unaweza kuiweka hapa tukaiona?Ila shangilia yake niliielewa sanaa
Ki vipi mkuu?MCHOCHEZI[emoji15] [emoji115] [emoji3]
HaaahaahaaaOn behalf of myself and the people of Ilembula,.. We say R. I. P