Shandong
Member
- Aug 17, 2016
- 30
- 37
Khaaaa.. We jamaa kwan upo wp saiz,.. Na kwenu ni wp??.. Mimi natokea hapa halalli,.. Njia panda kwenda ilembula.. Am here right now..Haaahaahaaa
Kwani kuna Ilembula kwenye Bible?
Mi naongelea Korinto ya kwenye Bible mkuu.
Teh teh
Nimekumisi nyumbani kwetu, hasa kuvuka ule mto Halali kwa mguu. Magari huwa sipandi nikiwa kwetu.