TANZIA: Mchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC

TANZIA: Mchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC

Haaahaahaaa
Kwani kuna Ilembula kwenye Bible?
Mi naongelea Korinto ya kwenye Bible mkuu.
Teh teh
Nimekumisi nyumbani kwetu, hasa kuvuka ule mto Halali kwa mguu. Magari huwa sipandi nikiwa kwetu.
Khaaaa.. We jamaa kwan upo wp saiz,.. Na kwenu ni wp??.. Mimi natokea hapa halalli,.. Njia panda kwenda ilembula.. Am here right now..
 
Khaaaa.. We jamaa kwan upo wp saiz,.. Na kwenu ni wp??.. Mimi natokea hapa halalli,.. Njia panda kwenda ilembula.. Am here right now..
Niko Dar ila kwetu ni Korinto. Ukifika Ilembula Hospital unavuka mto halali, ama kupitia darajani hadi unakwenda Luduga, unakata kushoto ukifika Ngalanga....Haahaaa.
Sijarudi home almost 3 solid good years.
I miss home a lot.
 
Haya veyaa.. Na Mimi last year tu nlikuwa uko uko dar,.. Nmeamua kurud hom..
 
Rafu ni ya kawaida sana.mimi naona ule ushangiliaji wake ulichangia kifo chake
 
Tumehabarishwa kuwa marehemu alikuwa ameshafuzu vipimo vya kujiunga na academia za soka huko marekani, na kama tunavojua kuwa hawa wenzetu huwa wanafanya vipimo makini sana vya afya ya mchezaji na kuhakikisha kuwa hana tatizo lolote linaloweza kuhatarisha uhai wake pindi anapokuwa uwanjani. Napata walakini kwamba kijana kafariki kwa shambulio la moyo ( unless heart attack vulnerability haiwezi kutambulika au kugundulika kwa njia za vipimo vya kitabibu). Na hapo ndipo ninapoingiwa na wasiwasi kuwa huenda kijana wa watu kachezewa (kafanyiwa shirki) hasa ukizingatia kuwa ameshaonesha mafanikio makubwa ukilinganisha na umri wake. (Nimefikiria kama mwafrika ambae anaamini kuwa uswahili upo na unatumika sanasana kwenye futiboli). Na pia huenda kuna chanzo kingine cha kifo chake (Labda alipata internal bleeding au concussion). Yote kwa yote pumzika kwa amani Ismail Halfani. Dunia hii mapito tu..
 
Ingawa kifo au ajali anapanga muumba lakini upo umuhimu wa kuhakikisha hao watoa huduma wanakuwa na utaalamu wa kutosha pamoja na vifaa stahiki. Hivi unafahamu marehemu alipelekwa hospitali na gari la zima moto?

Kama kifo na ajali anapanga Mungu, kama unavyosema, kuna haja gani ya kuwa na hivyo vifaa na utaalam wa watoa huduma?
 
Back
Top Bottom