Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inadaiwa Ambulance haikuwapo uwanjani, alipelekwa na gari ya fire, pole kwa familia
Apumzike kwa amani ndogo wetu
jins alivyoshangilia aliustua moyo na mishipa ya arteryhisia ya sita inaniambia ni ndumba zimezidiana
Habari wakuu.
Kwanza nitoe pole yangu kwa familia ya Mrisho Halfan kwa kuondokewa na kijana wao Ismail M Halfan aliekuwa akiichezea Mbao Fc vijana chini ya miaka 20 tukio lililotokea uwanjani akiitumikia timu yake,Mungu ampe pumziko jema..
Video mods mtapima iondolewe au ibaki,nia yakuanzisha huu uzi naomba kwa wajuvi wanieleweshe...hivi wachezaji wa mpira Tanzania huwa wanapimwa afya zao kabla ya kuingia uwanjani?ndiyo matukio ya vifo uwanjani yapo duniani kote ila nimezoea kuona yale ya mtu anaanguka akiwa peke yake au kugongana hasa sehemu ya kichwani ila huyu bwana'mdgo aliangushwa hakuguswa popote zaidi ya mguuni ila anaonekana kama upande aliodondokea ulikuwa na tatizo,nadhani kuna umuhimu wachezaji kupimwa afya zao ili kuepuka matukio kama haya.maisha ni magumu mtu anaweza kuwa anaumwa ila akataka acheze ili posho iingie but kama doc akimpima akamkuta na tatizo inakuwa rahisi kumuepusha na mambo kama haya.nawasilisha.
Wamekimbilia kumvua viatu na soksi,sijui waliona alivyokuwa anarusha rusha miguu wakadhani viatu vimembana maana ni ajabu,wenzetu nchi zilizoendelea muda wowote wanakuwa na vifaa tiba mitungi ya gas na vitu kama hivyo..case hii cha kwanza tungetegemea awekewe kisaidizi cha hewa maana mara nyingi inakuwa ni moyo umekataa kazi cha kushangaza wamefika pale hawajui waanzie wapi,kweli mkuu kwa muenendo tutegemee vifo vingi sana ktk tasnia ya michezo!Ni kweli mkuu upimaji mhm,lkn kwa hapa kwetu na madt. Wachache mno mf. Yule mchezaji wa timu gani kule mtoni wangeshamtia kwenye fridge,sijui ndo uhaba wa vipimoooo,mgonjwa wa vile wa kusimama kwa moyo afika Hosp. Daktari amcheki shingoni utasikia aaaaah kapoa huyu peleka mortuary wengi tumezika wazima.