TANZIA: Mchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC

TANZIA: Mchezaji wa Mbao FC afariki baada ya kuchezewa rafu na mchezaji wa Mwadui FC

Nimejaribu kuangalia video yake ila ninaikosa sababu naamin kitu kimoja kila mtu ana safari yake apumzike kwa aman
 
Rafu ilikuwa ya kawaida mno hata refa alipotezea kwan jamaa alipiga mpira lakini ndio hivyo tena kazi ya Mungu haina makosa
 
Habari wakuu.
Kwanza nitoe pole yangu kwa familia ya Mrisho Halfan kwa kuondokewa na kijana wao Ismail M Halfan aliekuwa akiichezea Mbao Fc vijana chini ya miaka 20 tukio lililotokea uwanjani akiitumikia timu yake,Mungu ampe pumziko jema..
Video mods mtapima iondolewe au ibaki,nia yakuanzisha huu uzi naomba kwa wajuvi wanieleweshe...hivi wachezaji wa mpira Tanzania huwa wanapimwa afya zao kabla ya kuingia uwanjani?ndiyo matukio ya vifo uwanjani yapo duniani kote ila nimezoea kuona yale ya mtu anaanguka akiwa peke yake au kugongana hasa sehemu ya kichwani ila huyu bwana'mdgo aliangushwa hakuguswa popote zaidi ya mguuni ila anaonekana kama upande aliodondokea ulikuwa na tatizo,nadhani kuna umuhimu wachezaji kupimwa afya zao ili kuepuka matukio kama haya.maisha ni magumu mtu anaweza kuwa anaumwa ila akataka acheze ili posho iingie but kama doc akimpima akamkuta na tatizo inakuwa rahisi kumuepusha na mambo kama haya.nawasilisha.
 
Inadaiwa Ambulance haikuwapo uwanjani, alipelekwa na gari ya fire, pole kwa familia

Apumzike kwa amani ndogo wetu

Mkuuu hapo kwa msimamo wangu ni kwambaa hamna kitu cha maana kilichofanyika kumuokoa huyo mtoto....kumpeleka huyo dogo hospital si ndio kuokoa maisha yake maisha yake always ilibidi aokolewe hapo hapo uwanjani hospital anapelekwa kupata huduma za extraa tu....

Ilibidi apewe oxygen ya kutosha na huyo baada ya kugongana na mwezie amepata cardiac arrest ambayo ni simple kumsaidia....always inabidi kujua mtu hata apate ajali huwa hafi hapo hapo anachukua mda mpaka anakufa so huyo dogo angeweza kuwa kwenye comma ila akaw live kwa kufanyiwa CPR 30 by 2 breath or 15 by 1 breath but huduma zs muhimu hakuwahi kupewa zaidi wakawa wanawaza kwenda hospital.....
 
Angalieni hapo watu wa huduma ya kwanza wameenda ila hamna chochote walichobeba zaidi wanawahi kumvus viatu inabidi kuwe na elimu kwenye michezo la sivyo kil siku tutakuwa tunawapoteza ndugu zetu.....
 
Ushirikina michezoni utawafanya wachezaji kuogopa hata kufunga magoli
 
Habari wakuu.
Kwanza nitoe pole yangu kwa familia ya Mrisho Halfan kwa kuondokewa na kijana wao Ismail M Halfan aliekuwa akiichezea Mbao Fc vijana chini ya miaka 20 tukio lililotokea uwanjani akiitumikia timu yake,Mungu ampe pumziko jema..
Video mods mtapima iondolewe au ibaki,nia yakuanzisha huu uzi naomba kwa wajuvi wanieleweshe...hivi wachezaji wa mpira Tanzania huwa wanapimwa afya zao kabla ya kuingia uwanjani?ndiyo matukio ya vifo uwanjani yapo duniani kote ila nimezoea kuona yale ya mtu anaanguka akiwa peke yake au kugongana hasa sehemu ya kichwani ila huyu bwana'mdgo aliangushwa hakuguswa popote zaidi ya mguuni ila anaonekana kama upande aliodondokea ulikuwa na tatizo,nadhani kuna umuhimu wachezaji kupimwa afya zao ili kuepuka matukio kama haya.maisha ni magumu mtu anaweza kuwa anaumwa ila akataka acheze ili posho iingie but kama doc akimpima akamkuta na tatizo inakuwa rahisi kumuepusha na mambo kama haya.nawasilisha.

Ni kweli mkuu upimaji mhm,lkn kwa hapa kwetu na madt. Wachache mno mf. Yule mchezaji wa timu gani kule mtoni wangeshamtia kwenye fridge,sijui ndo uhaba wa vipimoooo,mgonjwa wa vile wa kusimama kwa moyo afika Hosp. Daktari amcheki shingoni utasikia aaaaah kapoa huyu peleka mortuary wengi tumezika wazima.
 
Kwa video ambayo nimeiona, Mimi nina wasiwasi na ile aina ya ushangiliaji baada ya kufunga lile goli, huenda alipata madhara fulani kwenye mfumo mmojawapo wa mwilini, hii ilitokea pia kwa mchezaji fulani kule ASIA ambapo baada ya kufunga goli alipoga acrobatic za nguvu na muda mfupi baadae alifariki, inahuzunisha sana kwa kweli R.I.P
 
Ni kweli mkuu upimaji mhm,lkn kwa hapa kwetu na madt. Wachache mno mf. Yule mchezaji wa timu gani kule mtoni wangeshamtia kwenye fridge,sijui ndo uhaba wa vipimoooo,mgonjwa wa vile wa kusimama kwa moyo afika Hosp. Daktari amcheki shingoni utasikia aaaaah kapoa huyu peleka mortuary wengi tumezika wazima.
Wamekimbilia kumvua viatu na soksi,sijui waliona alivyokuwa anarusha rusha miguu wakadhani viatu vimembana maana ni ajabu,wenzetu nchi zilizoendelea muda wowote wanakuwa na vifaa tiba mitungi ya gas na vitu kama hivyo..case hii cha kwanza tungetegemea awekewe kisaidizi cha hewa maana mara nyingi inakuwa ni moyo umekataa kazi cha kushangaza wamefika pale hawajui waanzie wapi,kweli mkuu kwa muenendo tutegemee vifo vingi sana ktk tasnia ya michezo!
 
Back
Top Bottom