Daah nilijifunza mengi sana kupitia huyu mtu 😭😭😭😭😭Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
View attachment 1439186
Terrible..may his soul rest where deservedMchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
View attachment 1439186
Hakuna
Ushauri mzuri sana mkuuMay his soul RIP. Yaani kwa sasa ukiamka asubuhi bado unapumua tu, piga goti kabla hujafanya lolote na kumshukuru Muumba wako. Ni kwa neema tu tunadunda maana huyu mdudu hajari wewe ni nani na una mpunga kiasi gani bank.
Warehouse ni 'ghala la chakula' au ni 'ghala' tu?Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.
Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.
View attachment 1439186