TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

Huyu ndo alikuwa anawakosha wanawake kwa kuponda wanaume? Au sio huyu?
Hapana, huyu ni moja kati watu waliojua kufundisha habari za mahusiano na saikolojia vilivyo, hajawahi base upande mmoja, ana mafundisho mazuri sana, japo sijawahi kwenda kanisani kwake ila kupitia ktk YouTube channel yake nilimfuatilia Sana.
 
Back
Top Bottom