TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

R.I.P Pastor Mitimingi.
Posts zake za Jana hizo
IMG-20200503-WA0148.jpg
IMG-20200503-WA0146.jpg
IMG-20200503-WA0147.jpg
 
R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Kumbe ndio huyu alikuwa na hizo swagg...
katuzingua sana wa kiumeni....
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom