TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

R. I. P mchungaji
"chozi la mwanamke likitoka sababu ya maumivu au kunung'unika huleta laana"
Sasa wewe jifanye kitunguu maji kuwaliza wadada.
Hata kama ni kilio kinachotokana na maumivu yale ya raha?

(Natania tu usije ukanipa za uso. Apumzike salama mshauri nasaha huyu [emoji1545][emoji1545][emoji1545])
2.29971670904337792E18.jpg
 
R.I.P Pastor. What happened jamani. Juzi juzi nimeangalia YouTube yake akiiishambulia Coronavirus. Akisema watu wasiogope Coronavirus.
 
Mchungaji na Mwalimu Daktari wa falsafa Peter Mitomingi alikuwa akiugua sukari kwa muda sasa mpaka umauti unamkuta. Daima tutamkumbuka kwa masomo yake kwetu vijana na kanisa kwa ujumla.

Jumatano wiki iliyopita niliongea naye kwa njia ya simu kwa kirefu sana akanihimiza pamoja na kufanya maombi ya kufunga kwa ajili ya janga hili la corona na nchi yetu kwa ujumla usiache kuzingatia maelekezo ya wataalam yanayotolewa na serikali.

Mungu ampumzishe mtumishi. Hakika, maisha ya mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Pastor. What happened jamani. Juzi juzi nimeangalia YouTube yake akiiishambulia Coronavirus. Akisema watu wasiogope Coronavirus.
RIP Mchungaji. Sijui ni nini kilitokea. Majirani zetu wanasema eti ukiichukulia Coronavirus kikawaidakawaida, yenyewe itakuchukulia isivyokawaida na ukiikana hadharani yenyewe inakukataa hadharani....
 
Hotuba ya Mkuu niliipenda ila kuna swali najiuliza kwamba marehemu wachungaji Rwakatale na Mitimingi wakifufuka watafungua makanisa au watatupilia mbali ushauri mkuu?
 
Back
Top Bottom