TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

RIP Mitimingi. Bwana anaendelea kuvuna kwenye shamba lake.
 
May his soul RIP. Yaani kwa sasa ukiamka asubuhi bado unapumua tu, piga goti kabla hujafanya lolote na kumshukuru Muumba wako. Ni kwa neema tu tunadunda maana huyu mdudu hajari wewe ni nani na una mpunga kiasi gani bank.
Kwan ni #covid19?
 

Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.

Mch. Mitimingi anadaiwa alikuwa amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

Moyo wangu umehuzunika sana
 
Back
Top Bottom