Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?

Capten Komba ni wa pili, halafu malizia na jamaa.....
 
Kuna uzi mwingine kuhusu Seki eti mke wake alitabiriwa na TB Joshua kuhusu kifo chake.

Kumbe mke wa marehemu ni mlokole.

Wabongo yao maneno huyo mke alikua busy sana kusimamia miradi yao frm dar to dom.then kazini sasa huo muda alikua anaupata wapi.seki june lastyea ndio karudi dar rasmi istoshe muda mwingi anakua dom kwenye nyumba zake
 
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2

Hostel ipo dodoma St. Johns na Hombolo chuo kikuu cha serikali za mitaa. Hakika Mungu ndiye muweza wa yote.
 
duh!!acha lulu alie kwa kweli
na kile kimimba atakitoa
 
Habari nikizozipata kutoka kwa jamaa ambaye anafanya kazi kwenye gym yake njiro ni kuwa jamaa amefariki dar na sio arusha.

MAZINGIRA YA KIFO:
Kulikuwa na kama ugomvi baina yake na Lulu hasa kwa sbb Lulu amechoropowa mimba ya marehemu seki.

Inasemekana walisukumana na baadae seki aliangukia kwenye meza ya kioo ambayo ilipasuka na kipande cha kioo kikamchoma sehemu kichwa shingo inapoishia kuelekea kichwani (huwa kuna kuwa na km mfereji)

Baadae alikimbizwa hospitali lkn alifariki muda mfupi baada ya kufika hospitali.

UGOMVI NA MKEWE:
Baada ya kupata penzi jipya kutoka kwa Lulu marehemu alinogewa na hakujali tena familia kitu ambacho kilimfanya mkewe hata kuokoka ili amlilie mungu mumewe arudi kwenye familia.

MKEWE AAMUA KWENDA NIGERIA KWA TB JOSHUA:

baada ya kuona mume marehemu haelekei kybadilika mkewe aliamua kwenda Nigeria kwa TB Joshua ambako walifunga na kuomba, siku moja TB joshua akamwambia mkewe kuwa kuwa mume wakw yupo na mwanamke mmoja HATARI sana na hatamaliza mwaka atafariki ikiwa hataachana na huyo mwanamke hatari.

Baada ya kurudi kutoka Nigeria mkewe alifikisha ujumbe alioupata kutoka kwa TB Joshua, lkn marehemu hakuafiki kuachana na mrembo huyo na hapo aliamua kuhama Arusha na kuishi na lulu ktk jumba alilompangia huko mbezi beach kwa gharama ya US$ 2,000 kama TZS 3,750,000 kwa mwezi.

MSIMAMO WA MATAJIRI WA ARUSHA KUHUSU TUKIO HILI:
Hawaafiki tukio hili na usk huu wamekodi ndege kuja dar kuungana ktk musiba huu.
Lkn pia wanahitaji binti ajisalimishe polisi na aeleze kila kilichotokea hadi kusababisha kifo cha seki. Wanaamini kuna siri kubwa kwenye hilo, wameahidi kutumia gharama zozote kuhakikisha ukweli unajulikana na sheria ss ichukue mkondo tofauti kesi iliyotangulia.

Hayo ni kwa uchache kwenye maongezi na jamaa anayefanya kazi kwenye gym A town ambayo ni moja biashara ambazo marehemu alikuwa akimiliki.
 
Hostel ipo dodoma St. Johns na Hombolo chuo kikuu cha serikali za mitaa. Hakika Mungu ndiye muweza wa yote.

Hostel ziko 4 pia kuna hotel kubwa alikua anajenga jirani n saint gasper nimetoka huko mwezi w pili nlikua n maongezi nae
 
Wabongo yao maneno huyo mke alikua busy sana kusimamia miradi yao frm dar to dom.then kazini sasa huo muda alikua anaupata wapi.seki june lastyea ndio karudi dar rasmi istoshe muda mwingi anakua dom kwenye nyumba zake

Mpaka wiki iishe tutsikia mengi hivi hiyo stuli ya kioo ilikua ya aje
 
Bongo movie kala wolper,aunt,kajala halafu uwoya alikua anarun na best yake anaitwa mako.hao bongo movie kuna wakati walikua wanakaa arusha wiki utadhani wako location kumbe wanatembeza mpapa

Kwa maubuyu tu nakukubari mtu wangu
 
Kabisa mkuu tena kwa jina lingine vinaitwa makila vinaua sana
 
Wabongo yao maneno huyo mke alikua busy sana kusimamia miradi yao frm dar to dom.then kazini sasa huo muda alikua anaupata wapi.seki june lastyea ndio karudi dar rasmi istoshe muda mwingi anakua dom kwenye nyumba zake

alikifata kifo na kummimba lulu
 
Hivi ni nani aliyedhibitisha kuwa marehemu alikuwa anatembea na lulu..tatizo jf sikuhizi hainatofauti na instagram yani we weka uzi tu hutakosa wachanhiaji.!!
 
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2

Duh...kumbe jamaa alikuwa njema haswa!
 
mmmmmmmhhhhhhhhhhhh!!!!!
afungwe tuu
 
Kimbley kwa apa unawezaje kukaba hadi penati ili asihonge nje?!

Ahahaa!mi wa kwangu sio millionea ila kwa kipato chake najitahidi kukaba kadri ya uwezo ijapokuwa najua ananizidi ujanja lakini sibaki tupu hata kidogo.

Akifikia hiyo level basi na mimi nitakuwa mwanamke wa kwanza billionea hapa tz.
 
Hostel ziko 4 pia kuna hotel kubwa alikua anajenga jirani n saint gasper nimetoka huko mwezi w pili nlikua n maongezi nae

Mkuu nimefanya kazi Tanzanite one 2005-2008 chini ya Anton na Damian lakini huyu jamaa sijamkumbuka kabisa,alianza kazi mwaka gani?
 
Ahahaa!mi wa kwangu sio millionea ila kwa kipato chake najitahidi kukaba kadri ya uwezo ijapokuwa najua ananizidi ujanja lakini sibaki tupu hata kidogo.

Akifikia hiyo level basi na mimi nitakuwa mwanamke wa kwanza billionea hapa tz.

Mimi huwa nasema hamna maisha zaidi y haya tuishio.kinadada wanapenda gudlyf kazi hawafanyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…