how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?
Capten Komba ni wa pili, halafu malizia na jamaa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
how? wakwanza kaumba ambaye kesi haijaisha, wa pili huyo mfanyabiashara aliyekuwa amempangishia nyumba, watatu nani?
Kuna uzi mwingine kuhusu Seki eti mke wake alitabiriwa na TB Joshua kuhusu kifo chake.
Kumbe mke wa marehemu ni mlokole.
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2

Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.
Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.
Kuna uzi mwingine kuhusu Seki eti mke wake alitabiriwa na TB Joshua kuhusu kifo chake.
Kumbe mke wa marehemu ni mlokole.
Hostel ipo dodoma St. Johns na Hombolo chuo kikuu cha serikali za mitaa. Hakika Mungu ndiye muweza wa yote.
Wabongo yao maneno huyo mke alikua busy sana kusimamia miradi yao frm dar to dom.then kazini sasa huo muda alikua anaupata wapi.seki june lastyea ndio karudi dar rasmi istoshe muda mwingi anakua dom kwenye nyumba zake
Bongo movie kala wolper,aunt,kajala halafu uwoya alikua anarun na best yake anaitwa mako.hao bongo movie kuna wakati walikua wanakaa arusha wiki utadhani wako location kumbe wanatembeza mpapa
Alipofariki yule rubi wa chichiemu niliwafafanulia kule kwetu ukiona bnt wanaume wanakwisha ujue anakitu ambacho kinaota juu yashimo la kujisaidia kinyama kidogo a.k.a Kimenengu,hiki kinautaratibu wa kukatwa kwa utaratibu wa kimila,kuna dawa ya kienyeji unafanyanyiwa alafu unakatwa unaondoa mikosi yote,sasa wale walio karibu na Lulu wakiona ujumbe huu anitafute kupitia jf gharsma yake ndogo akzarau wanaume watakwisha,
Wabongo yao maneno huyo mke alikua busy sana kusimamia miradi yao frm dar to dom.then kazini sasa huo muda alikua anaupata wapi.seki june lastyea ndio karudi dar rasmi istoshe muda mwingi anakua dom kwenye nyumba zake
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2
Habari nikizozipata kutoka kwa jamaa ambaye anafanya kazi kwenye gym yake njiro ni kuwa jamaa amefariki dar na sio arusha.
MAZINGIRA YA KIFO:
Kulikuwa na kama ugomvi baina yake na Lulu hasa kwa sbb Lulu amechoropowa mimba ya marehemu seki.
Inasemekana walisukumana na baadae seki aliangukia kwenye meza ya kioo ambayo ilipasuka na kipande cha kioo kikamchoma sehemu kichwa shingo inapoishia kuelekea kichwani (huwa kuna kuwa na km mfereji)
Baadae alikimbizwa hospitali lkn alifariki muda mfupi baada ya kufika hospitali.
UGOMVI NA MKEWE:
Baada ya kupata penzi jipya kutoka kwa Lulu marehemu alinogewa na hakujali tena familia kitu ambacho kilimfanya mkewe hata kuokoka ili amlilie mungu mumewe arudi kwenye familia.
MKEWE AAMUA KWENDA NIGERIA KWA TB JOSHUA:
baada ya kuona mume marehemu haelekei kybadilika mkewe aliamua kwenda Nigeria kwa TB Joshua ambako walifunga na kuomba, siku moja TB joshua akamwambia mkewe kuwa kuwa mume wakw yupo na mwanamke mmoja HATARI sana na hatamaliza mwaka atafariki ikiwa hataachana na huyo mwanamke hatari.
Baada ya kurudi kutoka Nigeria mkewe alifikisha ujumbe alioupata kutoka kwa TB Joshua, lkn marehemu hakuafiki kuachana na mrembo huyo na hapo aliamua kuhama Arusha na kuishi na lulu ktk jumba alilompangia huko mbezi beach kwa gharama ya US$ 2,000 kama TZS 3,750,000 kwa mwezi.
MSIMAMO WA MATAJIRI WA ARUSHA KUHUSU TUKIO HILI:
Hawaafiki tukio hili na usk huu wamekodi ndege kuja dar kuungana ktk musiba huu.
Lkn pia wanahitaji binti ajisalimishe polisi na aeleze kila kilichotokea hadi kusababisha kifo cha seki. Wanaamini kuna siri kubwa kwenye hilo, wameahidi kutumia gharama zozote kuhakikisha ukweli unajulikana na sheria ss ichukue mkondo tofauti kesi iliyotangulia.
Hayo ni kwa uchache kwenye maongezi na jamaa anayefanya kazi kwenye gym A town ambayo ni moja biashara ambazo marehemu alikuwa akimiliki.
Kimbley kwa apa unawezaje kukaba hadi penati ili asihonge nje?!
Hostel ziko 4 pia kuna hotel kubwa alikua anajenga jirani n saint gasper nimetoka huko mwezi w pili nlikua n maongezi nae
Ahahaa!mi wa kwangu sio millionea ila kwa kipato chake najitahidi kukaba kadri ya uwezo ijapokuwa najua ananizidi ujanja lakini sibaki tupu hata kidogo.
Akifikia hiyo level basi na mimi nitakuwa mwanamke wa kwanza billionea hapa tz.