Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Kwny maelezo yako mengi hayako sawa, marehemu hajawahi kukimbia familia na kuishi na huyo Lulu. Pia, wakati anamuo huyo mke wake (ambaye sasa wanawatoto 2) wakati wanaowana huyo binti alikuwa tayari ni mtu wa dini. Siyo kwamba aliamua kuokoka kwa ajili ya jamaa kupata mchepuko.
Na sababu ya kutoka Arusha kurudi ni baada ya kuacha kazi TanzaniteOne Mining Ltd, maana huko arusha alikuwa anakaa kwa ajili ya kazi.
 
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.

Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.

Hivi una ushahidi ni mpenzi wake?
 
Duu Arusha tunazidi kupoteza mabillionaire
 
Huyu jamaa cjui kaja n hiyo stori toka njiro marehemu kapata ajali nyumbani kwake wala hamna cha lulu
 
Mkuu nimefanya kazi Tanzanite one 2005-2008 chini ya Anton na Damian lakini huyu jamaa sijamkumbuka kabisa,alianza kazi mwaka gani?

Alichukua nafasi ya ruta nafikiria 2006 au 2007 ndio alianza kazi alikua n akili sana n bingwa w michongo y kupiga mawe
 
Jamaa alikua chief geologist w tanzaniteone so kaiba sana mawe w billions

Kama alikuwa Chief Geologist hapo sawa... tena inaonyesha alikuwa anachukua quality stones tu.
But namsifu kwa huo uwekezaji tu...watoto wake hawatatetereka kabisa.
 
Jamaa alikua chief geologist w tanzaniteone so kaiba sana mawe w billions

Mkuu umeona maelezo ya Twilumba hapo juu?

Najua we ni mtu wa ishu za tanzanite, je ni kweli wazee wa tanzanite wanapanda pipa kuelekea dar kulianzisha?
 
Alichukua nafasi ya ruta nafikiria 2006 au 2007 ndio alianza kazi alikua n akili sana n bingwa w michongo y kupiga mawe

Hapo sawa kaka,Ruta naye aliyapiga sana wakati ule Bravo shaft ikiwa nyeti sipati picha Damian atakua na uwekezaji wa namna gani maana naye alikua anajua kula na vipofu
 
Kama alikuwa Chief Geologist hapo sawa... tena inaonyesha alikuwa anachukua quality stones tu.
But namsifu kwa huo uwekezaji tu...watoto wake hawatatetereka kabisa.

Alikua n akili sana kuna wakti alikua anapakua mzigo mzuri anachukua yeye anapeleka magonga kwa mzungu.istoshe amewekeza sana familia itaishi vizuri
 
Huyu jamaa cjui kaja n hiyo stori toka njiro marehemu kapata ajali nyumbani kwake wala hamna cha lulu

Mkuu, hapa kila mtu anaongea lake. Lakin taarifa toka kwa ndugu wa hapo nyumban kwake, wamesema alikuwa nyumban. Ndiyo hivyo tena, marehemu anaagwa dar jmosi na j3 wanazika Mbeya. Hiyo ndiyo taarifa niliyoipata toka kwa wanafamilia.
 
Ndio hvyo rizki kugawana jamaa alikua vizuri sana pia mke mtamu kuliko makahaba yake.nyumba ameacha kigamboni apartment 9 za ghorofa mojamoja,wazo,tabata,mbezi beach na hostel nne dodoma plus hotel alikua anajenga dom ndio ilikua ghorofa ya 2
Seki namfananisha,alisoma mining engneering?alikuwa muongeaji sana eeh,kama namkumbuka kwenye slabu wakati wa kula matunda kule foe
 
Mkuu umeona maelezo ya Twilumba hapo juu?

Najua we ni mtu wa ishu za tanzanite, je ni kweli wazee wa tanzanite wanapanda pipa kuelekea dar kulianzisha?

Hiyo stori yke anaijua yeye istoshe mtu kafia hom kwake lulu anahusika vipi na kifo hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…