mgodi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 2,780
- 1,847
Habari nikizozipata kutoka kwa jamaa ambaye anafanya kazi kwenye gym yake njiro ni kuwa jamaa amefariki dar na sio arusha.
MAZINGIRA YA KIFO:
Kulikuwa na kama ugomvi baina yake na Lulu hasa kwa sbb Lulu amechoropowa mimba ya marehemu seki.
Inasemekana walisukumana na baadae seki aliangukia kwenye meza ya kioo ambayo ilipasuka na kipande cha kioo kikamchoma sehemu kichwa shingo inapoishia kuelekea kichwani (huwa kuna kuwa na km mfereji)
Baadae alikimbizwa hospitali lkn alifariki muda mfupi baada ya kufika hospitali.
UGOMVI NA MKEWE:
Baada ya kupata penzi jipya kutoka kwa Lulu marehemu alinogewa na hakujali tena familia kitu ambacho kilimfanya mkewe hata kuokoka ili amlilie mungu mumewe arudi kwenye familia.
MKEWE AAMUA KWENDA NIGERIA KWA TB JOSHUA:
baada ya kuona mume marehemu haelekei kybadilika mkewe aliamua kwenda Nigeria kwa TB Joshua ambako walifunga na kuomba, siku moja TB joshua akamwambia mkewe kuwa kuwa mume wakw yupo na mwanamke mmoja HATARI sana na hatamaliza mwaka atafariki ikiwa hataachana na huyo mwanamke hatari.
Baada ya kurudi kutoka Nigeria mkewe alifikisha ujumbe alioupata kutoka kwa TB Joshua, lkn marehemu hakuafiki kuachana na mrembo huyo na hapo aliamua kuhama Arusha na kuishi na lulu ktk jumba alilompangia huko mbezi beach kwa gharama ya US$ 2,000 kama TZS 3,750,000 kwa mwezi.
MSIMAMO WA MATAJIRI WA ARUSHA KUHUSU TUKIO HILI:
Hawaafiki tukio hili na usk huu wamekodi ndege kuja dar kuungana ktk musiba huu.
Lkn pia wanahitaji binti ajisalimishe polisi na aeleze kila kilichotokea hadi kusababisha kifo cha seki. Wanaamini kuna siri kubwa kwenye hilo, wameahidi kutumia gharama zozote kuhakikisha ukweli unajulikana na sheria ss ichukue mkondo tofauti kesi iliyotangulia.
Hayo ni kwa uchache kwenye maongezi na jamaa anayefanya kazi kwenye gym A town ambayo ni moja biashara ambazo marehemu alikuwa akimiliki.
Kwny maelezo yako mengi hayako sawa, marehemu hajawahi kukimbia familia na kuishi na huyo Lulu. Pia, wakati anamuo huyo mke wake (ambaye sasa wanawatoto 2) wakati wanaowana huyo binti alikuwa tayari ni mtu wa dini. Siyo kwamba aliamua kuokoka kwa ajili ya jamaa kupata mchepuko.
Na sababu ya kutoka Arusha kurudi ni baada ya kuacha kazi TanzaniteOne Mining Ltd, maana huko arusha alikuwa anakaa kwa ajili ya kazi.