Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Huyu chunusi Lulu Muchael atawamaliza wanaume wote wakware.
 
Huyu chunusi Lulu Muchael atawamaliza wanaume wote wakware.Bado John Lukaza na Riziwani sasa
 
huyo ni mtu wa mbeya, Arusha alikua kikazi tu! mazishi pia yatafanyika mbeya kikazi nadhani. alikua anaitwa Lusekelo

Lusekelo Samson Mwandenga, nadhan pia alikuwa member wa JF maana alikuwa anapenda sana kusoma habari za huku.
 
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.

Mmh. Hudhani siku yake tu ilikuwa imefika labda?
 
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.

Aaaaah aaaaah
 
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana

Nyumbani kwake ni tegeta madale mbele ya wazo, hakuwahi kukaa mbezi, lulu ndo alipangiwa mbezi beach
 
Huyu chunusi Lulu Muchael atawamaliza wanaume wote wakware.Bado John Lukaza na Riziwani sasa

Hahaha na wote atawamaliza na hivi wote ni K
Kanumba
Komba
SeKi (luseKelo)
luKaza
 
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?

mara ya pili au mara ya tatu? alianza kanumba akaja komba na sasa ni seki next time atakua ridhiwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…