Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu Arusha tunazidi kupoteza mabillionaire
huyo ni mtu wa mbeya, Arusha alikua kikazi tu! mazishi pia yatafanyika mbeya kikazi nadhani. alikua anaitwa Lusekelo
Kwanj Komba nae alifariki April
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.
Huyu chunusi Lulu Muchael atawamaliza wanaume wote wakware.Bado John Lukaza na Riziwani sasa
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.
Haaa ume generalise sio wote wanafanya hivyo... hiyo mimba kweli ipo au ilikua mbwembwee
Mbwembwe zote za hard work pays kumbe kuna the billionaire anafadhili...
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana
Alikiba alipata bahati nasibu ee
Dah masikini! Hapo mbezi beach ndipo anapoishi na mke wake? Maana nasikia alikua na mchepuko!
Mmh. Hudhani siku yake tu ilikuwa imefika labda?
Aaaaah aaaaah
Huyu chunusi Lulu Muchael atawamaliza wanaume wote wakware.Bado John Lukaza na Riziwani sasa
sasa lulu si wanasema mjamzito, masikini ashakuwa mjane kwa mara ya pili, gundu hilo. atajibebaje sana na nyumba aliyompangia si ndio atafukuzwa?