wataalamu wa mambo wanasema nuksi...mi naona siku zinakua zmefika ila ndo kwanini zifikie kwa lulu!!!kuna bidada mmoja ye wapenzi wake wanajinyonga mwaka jana kajinyonga mwanaume wa 4
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.
NAsikia lile BMW la diamond alimpa yeye zawadi, kweli seky alikuwa ana huruma, na nyumba kamsaidia kujenga
Ila wapenzi wake wote kuna jambo wanashare..
Kanumba and Komba majina yanaishia na MBA
Kanumba na Seki wote wamefariki APRIL
Akateleza,akaanguka....! Kanumba RIP naye akateleza,akaanguka....!, kwenye ulimwengu wa giza kuna maelezo yake hapo kwakuwa coincidence haitokei mara mbili
Uwii jaman akaacha wife akaenda kwa Luluz
hako katoto ni ka mtu ka wapi asee.???
Hii si kweli, gari ya dangote hela alipata kwenye dili ya tangazo na nyumba kajenga mwenyewe. Mh hapa naona hapanifai.
Dah..... Mungu amrehemu marehemu. Poleni familia ya marehemu Mungu awape faraja.
Ahsante, tumeumia sana, yani toka jana nazimia, marehemu alikuwa ananisomesha
Mke wake mweupe mzuri sana then wameendana, sijui ilikuwaje kukifuata kiandunje lulu
mweh ndo waue watu....pole zakeWenzie watakuwa wanamchezea mchezo mchafu ili asipendwe na wanaume, maana lulu ana kismati na wanaume wenye pesa zao, sasa watakuwa wanamtafutia kasoro ili asipate wanaume wamuogope