Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

wataalamu wa mambo wanasema nuksi...mi naona siku zinakua zmefika ila ndo kwanini zifikie kwa lulu!!!kuna bidada mmoja ye wapenzi wake wanajinyonga mwaka jana kajinyonga mwanaume wa 4

Wenzie watakuwa wanamchezea mchezo mchafu ili asipendwe na wanaume, maana lulu ana kismati na wanaume wenye pesa zao, sasa watakuwa wanamtafutia kasoro ili asipate wanaume wamuogope
 
No comment kwa kweli

nyumba kubwa.jpg

VS

nyumba ndogo.png
 
Hahahaaa! Sijui nitatumia trick gani hadi niupate ukweli.
Ninavyopenda umbea hapa nateseka kwelikweli.

SASA HUO UMBEA UTAKUSAIDIA NINI KWENYE MAISHA YAKO HUONI AIBU..NDIO NYIE NYIE MNAACHA KUPIKA MNAKIMBILIA MDUNDIKO shame on u little biaych
 
Dah..... Mungu amrehemu marehemu. Poleni familia ya marehemu Mungu awape faraja.
 
Akateleza,akaanguka....! Kanumba RIP naye akateleza,akaanguka....!, kwenye ulimwengu wa giza kuna maelezo yake hapo kwakuwa coincidence haitokei mara mbili

Mkuu mshana jr, sasa hili litakuwa jina mahaba au? maana vifo vya hapo hapo(instant deaths) mara nyingi ni vya ulimwengu wa giza, lakin pia huyu jamaa alikuwa ni supervisor katika mgodi wa Tanzanite one, ambako watu pia huwa na mambo yao mengi japo huwa wanakuwa mabilionea kama huyu, haiwezi kuwa ni ile game ya punje za kudonolewa na kuku ndo miaka yako ya kuishi? If u know what I mean? Tusije tukakaonea bure kabinti ka watu.
 
Hii si kweli, gari ya dangote hela alipata kwenye dili ya tangazo na nyumba kajenga mwenyewe. Mh hapa naona hapanifai.

Ndo nakupa habari sasa, wewe kama unaleta ushabiki wako apa ni wewe, kwani ni siri? Kila mtu anajua hilo bmw diamond alipewa na seky kwenye birthday yake, uliza mjini apa uambiwe ooh
 
Hii kapost millard
 

Attachments

  • 1429249168843.jpg
    1429249168843.jpg
    44.7 KB · Views: 875
Wenzie watakuwa wanamchezea mchezo mchafu ili asipendwe na wanaume, maana lulu ana kismati na wanaume wenye pesa zao, sasa watakuwa wanamtafutia kasoro ili asipate wanaume wamuogope
mweh ndo waue watu....pole zake
 
Hii kaweka diamond
 

Attachments

  • 1429249370257.jpg
    1429249370257.jpg
    44.6 KB · Views: 761
Back
Top Bottom