Muharisho wewe
amwekee mzukuma wake Limbwata amuhonge hata Vitz
Jamani nimecheka mpaka basiii watu mna majibuuu
Dina nikienda segerea sijui hata kama utakumbuka kuniletea uji wenye sukari
Dina nikienda segerea sijui hata kama utakumbuka kuniletea uji wenye sukari
Benz inakula mafuta na spea ghali ndio maana tunakimbilia kwenye vitz
amwekee mzukuma wake Limbwata amuhonge hata Vitz
Alikuwa mdau wa Bongo Movie au mdau wa mabinti wa Bongo Movie??? Neutralization
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol
Huyu Johnson mbona mke wake mzuri tu mtoto wa kichaga. Au wameachana?mabwaku
Embu katawaze shahawa kwanza sbobo nikuletee mwanamke mwenzangu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
1 Timotheo 6:17
Niliposoma sana habari za huyu mtu ingawa sikumfahamu awali, nikakumbuka fungu hilo la biblia 👆
Liwe mahsusi kwa Wakristo wote. 1 Timothy 6:17
Kwahiyo lulu amelala na wanaume watatu tu mpaka sasa? Kama sivyo, na ni kweli ana mkosi, hao wengine kwanini hawajafa?
AHahah hah ni speaking
Ila ki ukweli wadada wengi wanatamani nafasi aliyokuwa nayo lulu, mtoto mzuri, ana bahati maana kutoka na billionea sio mchezo, wengine ukoo wao wote wanaishia kuolewa na kuzalishwa na mavuvuzela ila lulu ana bahat ambayo wadada wengi wanaitamani na hawana, naona watakuwa wamefurah sana yaliyomkuta
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol