Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Kama ni kweli alikuwa mpenzi wa Lulu basi Lulu this time ana bahati maana ingekuwaje kama birthday yake wangekuwa sehemu wanasherekea birthday (pengine ingekuwa ni dinner ya wawili tu) then kifo kipige hodi angetiwa tena ndani!! Mungu ana makusudi yake.
 
Kwahiyo lulu amelala na wanaume watatu tu mpaka sasa? Kama sivyo, na ni kweli ana mkosi, hao wengine kwanini hawajafa?
 
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol
 
Attachments

  • 1429252144548.jpg
    1429252144548.jpg
    42.2 KB · Views: 694
Lulu hata akinitunuku na sura yangu mbaya nitamkataa na mji nitahama,kichwa cha tatu hiki na ndo kwanza ako na 20yrs mpaka afike 30 itakuwaje,aweza kuwa mzimu vijana na wazee wawe makini.
 
amwekee mzukuma wake Limbwata amuhonge hata Vitz

AHahah hah ni speaking

Ila ki ukweli wadada wengi wanatamani nafasi aliyokuwa nayo lulu, mtoto mzuri, ana bahati maana kutoka na billionea sio mchezo, wengine ukoo wao wote wanaishia kuolewa na kuzalishwa na mavuvuzela ila lulu ana bahat ambayo wadada wengi wanaitamani na hawana, naona watakuwa wamefurah sana yaliyomkuta
 
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol

Kuongea hatuachi ndio kwanzaa tumeanzaaa,hatukumtuma atembee na mume wa mtu,hatujamtuma awe maarufu alipewaga ushauri ajikalie kimya afanye shughuli zake akaona haifai show off kibao instagram wacha wasemee yaan tumepatanya ya kujadili ajizulu tu kwani ye ni special mno!!!hua sika,,,,,,,,,
 
Embu katawaze shahawa kwanza sbobo nikuletee mwanamke mwenzangu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu

Achana nae mbwa koko anatafuta umaarufu, hana hadhi ya kurumbana na wewe, unampa airtime ya bure tahira huyo, mzee mzima kazi umbea badala ya kulea familia, sijui halina kazi hasubuhi hasubuhi umbea mfyuuu mbwa huyo
 
Jamaa miaka ya nyuma alikuwa kiongozi wa dini secondary huko, kapata hela za madini naona upendwa akaeka kando akala maisha, Ulazwe panapostahili ulikuwa bado kijana sana.
Halaf wanaume wa lulu wanakufa sana whats wrong with this young lady?!
 
Kwahiyo lulu amelala na wanaume watatu tu mpaka sasa? Kama sivyo, na ni kweli ana mkosi, hao wengine kwanini hawajafa?

Unajuaje kama wamekufa su hawajafa? Hawa tunaowasikia ni wenye majina pekee, hatujui mpaka sasa ni wangapi wamekufa ukiacha hawa public figure🙄
 
AHahah hah ni speaking

Ila ki ukweli wadada wengi wanatamani nafasi aliyokuwa nayo lulu, mtoto mzuri, ana bahati maana kutoka na billionea sio mchezo, wengine ukoo wao wote wanaishia kuolewa na kuzalishwa na mavuvuzela ila lulu ana bahat ambayo wadada wengi wanaitamani na hawana, naona watakuwa wamefurah sana yaliyomkuta

Na hiyo ya kifo ni bahati moja wapo
 
Back
Top Bottom