Kuongea hatuachi ndio kwanzaa tumeanzaaa,hatukumtuma atembee na mume wa mtu,hatujamtuma awe maarufu alipewaga ushauri ajikalie kimya afanye shughuli zake akaona haifai show off kibao instagram wacha wasemee yaan tumepatanya ya kujadili ajizulu tu kwani ye ni special mno!!!hua sika,,,,,,,,,
Mtoto mdogo angeparamia waume za watu
Unaacha mkeo ndani...
Mwanamke wa haja...
Unafata cha wote ptuuuuu...
utashangaa tunasikia Warumi na Lulu new couple in town haahaaaaaaaa
sijui ana asset gani nyinginr zaid ya K
Yaan wanaume basi tu Mungu awarehemu
yaani nimejiskia vbaya ghafla mine duuuh
wanaume haaawaaa...
na huyo lulu alivyojiachia kkaaahhh
ht ye mwenyewe duh!
Achana nae mbwa koko anatafuta umaarufu, hana hadhi ya kurumbana na wewe, unampa airtime ya bure tahira huyo, mzee mzima kazi umbea badala ya kulea familia, sijui halina kazi hasubuhi hasubuhi umbea mfyuuu mbwa huyo
Nitakuleteaa pia hiyo haijapitishwa bado si unajua jk nae anavyopenda umbeaa
NAsikia lile BMW la diamond alimpa yeye zawadi, kweli seky alikuwa ana huruma, na nyumba kamsaidia kujenga
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol
Roho inauma jamani imagine ww ni lulu!!pole aisee she is too young to face all of that muombe mungu akusaidie
Embu katawaze shahawa kwanza sbobo nikuletee mwanamke mwenzangu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu
Unaacha mkeo ndani...
Mwanamke wa haja...
Unafata cha wote ptuuuuu...
Kuongea hatuachi ndio kwanzaa tumeanzaaa,hatukumtuma atembee na mume wa mtu,hatujamtuma awe maarufu alipewaga ushauri ajikalie kimya afanye shughuli zake akaona haifai show off kibao instagram wacha wasemee yaan tumepatanya ya kujadili ajizulu tu kwani ye ni special mno!!!hua sika,,,,,,,,,
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.
Inasikitisha kuona watu wengi wanampa pole Lulu kama vile marehemu alikuwa hana mke.
Yaani Lulu alikua anaiba mume wa mtu anapewa pole kama vile ni utamaduni wa kiTanzania.
Inabidi kukemea wasichana na wanawake wanaingilia ndoa za watu.
Hawa wanawake mnashadadia wengi hamjaolewa hamjui kkiolewa itakuwaje kwenu. Mumuombe Mungu haswa maana ni hatari.
Natoa pole kwa mke na familia ya marehemu.
baba mchaga mama muhaya...
Benz inakula mafuta na spea ghali ndio maana tunakimbilia kwenye vitz