Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Mmmh raha ya bilionea shurti nawe unukie mpesa mpesa sio kufa leo kesho wawaza natokaje huyo shoga lulu naomba tu huo ubilionea awe kautumia vzr lasivo bora kubakia na kajamba nani wangu......
 
hahaaaaaaaaaaa kila mtu anasema aliongea na marehemu mara masaa mawili, mara matatu
halafu wote aliwaambia atawasiliana nao baade

Kuna lile lizee liongo hilo acha kabisa mzee mzima unaongea ujinga cjui huko ulaya halikujifunza maisha linarudi mjini kuwalamba wa2 walisaidie.naskia linapiga mizinga matonya anasubiri hapo
 
Kuna lile lizee liongo hilo acha kabisa mzee mzima unaongea ujinga cjui huko ulaya halikujifunza maisha linarudi mjini kuwalamba wa2 walisaidie.naskia linapiga mizinga matonya anasubiri hapo
hahahaaa we mwana apolo weee mtata sana
 
Ila Hii picha ndo imenifanya niamini kweli nyumba ndogo ni Hatari
 

Attachments

  • 1429254431543.jpg
    86.1 KB · Views: 729
mbona huwa anasema ye mchaga....yule nae ni muongo muongo tu labda kweli mpare si unamchek shot cheses

Hilo jina c lakichaga koo za kichaga zinajulikana istoshe huyo mzee wake labda alihamia moshi kikazi ndio akaloea huko
 
Watu mna maneno sana...Kwahiyo Bwana mkubwa kabisa nayy anaogopa akiisaini Sheria hiyo inaweza kuanzia kwake duh....hii nimeipenda

Pia umbea atapata wapii sasaa tukinyamza
 
we matako nini ishu hapa sio wewe kupost umbea ishu hapa ni wewe kutumia jina la MWANAUME ilihali we ni choko huoni km unatudhalilisha wanaume?

Wanaume wote sasa ivi wapo kazini wanatafuta hela, wewe hasubuhi yote hii unawaza umbea, una uanaume gani? unajiita mwanaume wakati mseng* tu manina zako

Najua roho inakuuma nimekuibia bwana choko mwenzangu, mkund* wako umeoza huna soko kahaba wewe wa kizee
 
Tumwombee uyu dogo maana pengine si yeye anapenda bali kuna roho zinamfuatilia! Sidhani kama anapenda kuona kila cku ana make headline za magazeti kwa mabaya namna hii.
 
Mkiambiwa mkae mbali na wa machame mnasema hizo ni kasumba tu... Endeleeni kupukutika. KiLulu chenyewe sasa mbilikimo si mbilikimo ah watu tumetofautiana kwa kweli.

Mkuu kufa kupo tu cku ikifika unarest in hell kma anagundu mbna kiba n cheni wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…