Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

kumbe alifukuzwa kazi?kwa nini?

Uwizi ulizidi yani alikua anapakua mzigo kimyakimya kwa wiki alikua anaweza uza mawe y 600m kwa best yangu alifanya huo mchezo kwa 7mnth piga hesabu aliiba kiasi gani
 
Maisha yenyewe mafupi acha wa2 wale maisha jamani huku migodini kuna suluba acha 2 mtu unaweza kaa chini wiki bila kufika juu.istoshe rizki kugawana wengi wamefaidi kwa seki sio lulu tu

hahaaaaa
sema lulu alijimilikisha jamani!
 

ahsante sana mamy nimejifunza mengi kupitia ushauri wako.....ubarikiwe sana
 
Yaani ukisema hivyo ya wake mwisho wanne roho inauma balaa!

Kwanza ngoja nimcheki shehe kipozeo nisilimu tu nioe japo 2 wanatosha.maisha ndio hayahaya wadada hawataki kufanya kazi sasa mnategemea nini.adui w mwanamke ni mwanamke mwenzie
 
Uwizi ulizidi yani alikua anapakua mzigo kimyakimya kwa wiki alikua anaweza uza mawe y 600m kwa best yangu alifanya huo mchezo kwa 7mnth piga hesabu aliiba kiasi gani

ndo maana wamemtoa kafara aisee watu wa madini ni hatarii kwa ushirikina RIP...SECKY
 
Kwahiyo kushea kunashida gani mnapenda kuishi maisha ya tamthilia nifah hakuna mwanaume w hivyo kwenye 100 labda 2 ndio hawachepuki nyie ndio chanzo cha yote mnatamanisha n hivyo vilenzi mbinuko

Yaani wewe unavyonikera leo basi tu.
Haya, vipi wewe utakubali kushea na mtu mkeo?
 
Uwizi ulizidi yani alikua anapakua mzigo kimyakimya kwa wiki alikua anaweza uza mawe y 600m kwa best yangu alifanya huo mchezo kwa 7mnth piga hesabu aliiba kiasi gani
kaiba sana kwa kweli,ila poa tu maana wazungu wanatuibia sana,safi sana seki.uzuri kafanya investiments za kutosha,mke na watoto hawatoadhirika,pia mkewe ana kazi ya maana.kassheshe ni hao michepuko kama huyo lulu sijui hiyo nyumba itabidi airudishe,maana mlipa rent ndo hayupo tena.
 
Wake mwisho 4 istoshe lulu hajafaidi cha maana kuna bibie ananyumba n gari.pia seki mda wote alikua arusha dar alikua anakuja wkend kuangalia familia n biashara zake.halafu wewe nifah usicheke mamba kabla hujavuka mto
hhanlhahaaaa
we jamaa weewee
yaelekea unakula sana ujana
 

asili ya wanaume kutetetana siku zote!!
 
Yaani wewe unavyonikera leo basi tu.
Haya, vipi wewe utakubali kushea na mtu mkeo?

Mbna unageuza maandiko wewe biblia inasema mwanaume ataishi kwa jasho lake kma unataka kunisaidia kulea mke mchukue jumla ili nami nivute ki2 kingine kipya
 
Uwizi ulizidi yani alikua anapakua mzigo kimyakimya kwa wiki alikua anaweza uza mawe y 600m kwa best yangu alifanya huo mchezo kwa 7mnth piga hesabu aliiba kiasi gani

Is it possible mkuu?
600m a week?
As far as I know huwezi kupiga alone mawe...kuna watu wa security na wengine kama wa instrumentation ambao wanasaidia ktk ku deactivate system.
Hao wote wanapata mgao...and normally migao huwa ni flat rate kwa wote. Hebu nifafanulie hapo nielewe mkuu.
 

Tabia ni kma ngozi cku hizi kila dem anataka kudrive n kuishi artificial life pia mashababi twn wamejaa unategemea nini.seki kaacha familia vizuri sana pia bank yuko vizuri mama amalizie tu hiyo hotel dom tena ikibidi aache kazi asimamie miradi yake cz anacoaster 15 hapo dar zinafanya kazi
 
Wapi kuna mtu alifaidi hapo mpka nyumba n gari ila akajifanya kumbana jamaa sana kma vile mkewe jamaa akasepa

dduuuh kweli mshkaji alikua na kiburi cha pesa ila ndo wanaume wetu hawa walivyo wakishapata
 
hhanlhahaaaa
we jamaa weewee
yaelekea unakula sana ujana

Naongea ukweli tupu hivi mwanaume w hivyo karne hii hamna hebu angalia vizee vinatamani virudi kua vijana vitoe dose kwa vibinti ila ndio hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…