Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa
Alikua anapiga mawe chini cyo strongroom mbna hiyo wa2 wamepiga sana kitambo tu istoshe tanzanite inaweza toka kwa kustukiza bila mzungu kujua so wa2 wanakula mzigo wote
Umechanganya huyu mwenye mke wa kichaga ni Johns yeye ni mkubwa Lulu anatoka na mdogo wake yule wa epa alioa msukuma wakaachana.
yaani mke mnzuri kweli,sijui alifuata nini kwa zakayo lulu aka andunje
Ni ujirani mwema na kudumisha ndoa unajua ukichepuka halafu ukirudi kwa mkeo ndio unazidi kumpenda ili asijue kama una mchepuko.
Kongosho halogeki ili apende anapumbazwa akili tu na kutolewa utashi. Jamani mambo haya ya uchawi yapo fuatilia. La sivyo hawa kina 'Babu' si wangekuwa weshafunga vibanda vyao siku nyingi?Siamini, na sitaamini kama mwanamme analogeka ili apende.
Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa
Shida itakuja kwenye hicho kitu kilichofanya tukaoana!!kwanini ukigawe kwa wengineeeeeee!
Mkuu...wazee wanaojilipua uzee unaweza kuta during their youth walikuwa very faithful to their wives na ndiyo maana hata wameishi muda mrefu.
Sasa wanapojilipua muda huu wanajua dk 90 zishaisha wapo kwenye injury time tu coz any time mpira utaisha na hakuna dk 30 za nyongeza!
Sasa sisi wa sikuhizi tunaanza malipuzi dk ya 15 tu kweli hapo unategemea nini zaidi ya kupigwa straight red card??? Vijana wengine wakijitahidi sana wanaishia dk ya 30 tu anakuwa kashapigwa njano mbili...off he goes!
Binafsi nimejifunza sana kupitia misiba ya aina hii...God have Mercy.
Mimi kila ki2 umenikuta nacho sasa kuanzia nyumba n biashara so tuishi kwa upendo tu
da asia umenena. Mama mtu ameplay part kubwa sana kaika kuyaharibu maisha ya bintiye. Baada ya lile sakata la kanumba ambapo aliponea chupuchupu kula mvua za kutosha alipaswa ajifunze. Bado tukasikia kuna marehemu komba now huyu mkaka... Mama anafurahia tu. Na mbaya zaidi mama akaamua kuhamia kwenye hiyo nyumba ya mwanae alopangishiwa na huyo seky. Inaonekana dhahiri kuwa alikuwa anamsupport ingawa kwenye ile take one alijitetea kuwa kwa vile lulu hajaja kumtambulisha mwanaume yeyote pale kwake alishindwa kutanabaisha uwezo na mali na maisha ya kitajiri anayoishi binti yake nani anafadhili?
Wazazi tuna kitu cha kujifunza katika hili.
Ila naomba kutofautiana na wewe kidogo hapo kwenye machozi ya mke kuleta matokeo haya ya kumwumiza yeye mwenyewe.... Nadhani ni siku ilifika na kifo kikafika kwa style hiyo.
Au ndio kusema mungu anakupitisha kwenye moto ili usafike zaidi kama dhahabu?
Sasa kwa nini usambaze huo upendo kwa wengine wakati mi ndio mkeo?
Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa
hahaaaa kumbe mnajua hilo ila mnajitoa ufahamu tu mnataka cjui ist mara ohhh dia nataka prado yote hayo ni wanaume ndio watoaji ila pia tamaa nazo mbaya
Shida itakuja kwenye hicho kitu kilichofanya tukaoana!!kwanini ukigawe kwa wengineeeeeee!
Mkuu...wazee wanaojilipua uzee unaweza kuta during their youth walikuwa very faithful to their wives na ndiyo maana hata wameishi muda mrefu.
Sasa wanapojilipua muda huu wanajua dk 90 zishaisha wapo kwenye injury time tu coz any time mpira utaisha na hakuna dk 30 za nyongeza!
Sasa sisi wa sikuhizi tunaanza malipuzi dk ya 15 tu kweli hapo unategemea nini zaidi ya kupigwa straight red card??? Vijana wengine wakijitahidi sana wanaishia dk ya 30 tu anakuwa kashapigwa njano mbili...off he goes!
Binafsi nimejifunza sana kupitia misiba ya aina hii...God have Mercy.
Mi pia nawaza kama nifah msimamo wetu ni mmoja tu