da asia umenena. Mama mtu ameplay part kubwa sana kaika kuyaharibu maisha ya bintiye. Baada ya lile sakata la kanumba ambapo aliponea chupuchupu kula mvua za kutosha alipaswa ajifunze. Bado tukasikia kuna marehemu komba now huyu mkaka... Mama anafurahia tu. Na mbaya zaidi mama akaamua kuhamia kwenye hiyo nyumba ya mwanae alopangishiwa na huyo seky. Inaonekana dhahiri kuwa alikuwa anamsupport ingawa kwenye ile take one alijitetea kuwa kwa vile lulu hajaja kumtambulisha mwanaume yeyote pale kwake alishindwa kutanabaisha uwezo na mali na maisha ya kitajiri anayoishi binti yake nani anafadhili?
Wazazi tuna kitu cha kujifunza katika hili.
Ila naomba kutofautiana na wewe kidogo hapo kwenye machozi ya mke kuleta matokeo haya ya kumwumiza yeye mwenyewe.... Nadhani ni siku ilifika na kifo kikafika kwa style hiyo.
Au ndio kusema mungu anakupitisha kwenye moto ili usafike zaidi kama dhahabu?