Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa

Shida itakuja kwenye hicho kitu kilichofanya tukaoana!!kwanini ukigawe kwa wengineeeeeee!
 
yaani mke mnzuri kweli,sijui alifuata nini kwa zakayo lulu aka andunje

mke wake yupo "so hot". Kuna dhana kwenye maisha tukose wote na hapa imehusika sana.

attachment.php
 
Johnson lukaza ni nani hapa mjini. warumi madamme b @ Evelyn salt Heaven Sent

Johnson lukaza ni mwenyekiti wa makampuni ya proin promotions. Nafikiri ndiyo kampuni inayosimamia kazi za msanii Lulu. Na huyo Johnson miaka kadhaa ya nyuma alikuwa na kesi ya EPA Ila walishinda kesi, so yupo njema tu
 
Last edited by a moderator:
Siamini, na sitaamini kama mwanamme analogeka ili apende.
Kongosho halogeki ili apende anapumbazwa akili tu na kutolewa utashi. Jamani mambo haya ya uchawi yapo fuatilia. La sivyo hawa kina 'Babu' si wangekuwa weshafunga vibanda vyao siku nyingi?
 
Last edited by a moderator:
Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa

Mi pia nawaza kama nifah msimamo wetu ni mmoja tu
 
Mkuu...wazee wanaojilipua uzee unaweza kuta during their youth walikuwa very faithful to their wives na ndiyo maana hata wameishi muda mrefu.
Sasa wanapojilipua muda huu wanajua dk 90 zishaisha wapo kwenye injury time tu coz any time mpira utaisha na hakuna dk 30 za nyongeza!

Sasa sisi wa sikuhizi tunaanza malipuzi dk ya 15 tu kweli hapo unategemea nini zaidi ya kupigwa straight red card??? Vijana wengine wakijitahidi sana wanaishia dk ya 30 tu anakuwa kashapigwa njano mbili...off he goes!
Binafsi nimejifunza sana kupitia misiba ya aina hii...God have Mercy.

Mkuu acha vijana wale ujana wao unaweza acha mali ndgu wakatoana roho bure maana hizi familia zetu z kiafrica ni balaa
 
Hiyo ya Mbutananga nayo mh.... kama sharti la mganga wa Lulu ni kumtoa kafara mtu mwenye nyota ya Aquarius tu si angemtoa yeyote aliyezaliwa kwenye nyota hiyo? Kwa nini amtoe mtu ambaye ndie anamuweka mjini ?
Unless waseme huyo mtu lazima awe na mahusiano nae ya kimapenzi.
 
da asia umenena. Mama mtu ameplay part kubwa sana kaika kuyaharibu maisha ya bintiye. Baada ya lile sakata la kanumba ambapo aliponea chupuchupu kula mvua za kutosha alipaswa ajifunze. Bado tukasikia kuna marehemu komba now huyu mkaka... Mama anafurahia tu. Na mbaya zaidi mama akaamua kuhamia kwenye hiyo nyumba ya mwanae alopangishiwa na huyo seky. Inaonekana dhahiri kuwa alikuwa anamsupport ingawa kwenye ile take one alijitetea kuwa kwa vile lulu hajaja kumtambulisha mwanaume yeyote pale kwake alishindwa kutanabaisha uwezo na mali na maisha ya kitajiri anayoishi binti yake nani anafadhili?

Wazazi tuna kitu cha kujifunza katika hili.

Ila naomba kutofautiana na wewe kidogo hapo kwenye machozi ya mke kuleta matokeo haya ya kumwumiza yeye mwenyewe.... Nadhani ni siku ilifika na kifo kikafika kwa style hiyo.

Au ndio kusema mungu anakupitisha kwenye moto ili usafike zaidi kama dhahabu?

yaani mnaongea maneno ya hekma sana
 
Last edited by a moderator:
Achane wa2 wale maisha tu hakua maisha zaidi y haya ambae hafanyi starehe itakua ana marejesho au diabetis imemshika.hivi kimbley kma miradi nimefungua y kutosha pia majumba nimejenga kila ki2 kizuri familia inapata kunashida hapo.namuona nifah povu linamtoka kma kanywa toss hahahaaaa

Hahahaaa! Mimi nawasaidia wanawake wengine na kutoa tahadhari kwa yule niliyemkabidhi moyo.
Thou namkubali na kumuamini sana lakini hili jambo sio la kufumbia macho hasa mwanaume akiwa na visenti ndio mnatufanya tusilale kwa amani.
 
Shida itakuja kwenye hicho kitu kilichofanya tukaoana!!kwanini ukigawe kwa wengineeeeeee!

Unapiga pasi ndefu ukiwa mimi nimekopa mke so lazma awe na upendo ili apate leseni ya kufunga ndoa.kwani ukigawa kinaisha c ndio ubora n mastyle yanaongezeka
 
Mkuu...wazee wanaojilipua uzee unaweza kuta during their youth walikuwa very faithful to their wives na ndiyo maana hata wameishi muda mrefu.
Sasa wanapojilipua muda huu wanajua dk 90 zishaisha wapo kwenye injury time tu coz any time mpira utaisha na hakuna dk 30 za nyongeza!

Sasa sisi wa sikuhizi tunaanza malipuzi dk ya 15 tu kweli hapo unategemea nini zaidi ya kupigwa straight red card??? Vijana wengine wakijitahidi sana wanaishia dk ya 30 tu anakuwa kashapigwa njano mbili...off he goes!
Binafsi nimejifunza sana kupitia misiba ya aina hii...God have Mercy.

Mkuuu msemo wako umenifanya nicheki sana.....watu wanapiga kiatu pale kipenga kinapopulizwa wengine dakika ya kumi tu lazima upigwe umeme mwekundu....mtu ana jano moja bado anapiga viatu unategemea nini refa lazima ampe nyingine tu
 
Back
Top Bottom