Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Jamaa alikua anapenda Ushkaj na makuad ili wampe mabeebs wa ukweli refer Steve Nyerere na Le mtumboz
 
Yaani wewe acha tu nikujishika na Mungu, me kuna mchepuko uliwahi kuniletea watoto eti hapewi matumizi, anaomba msaada apeleke mtoto hospital. Mume akaniambia msaidie kama unataka nilimalizana naye siku aliyonipa k, lakini ananiganda. Duh nikabaki na hasira huku namwonea mtoto mgonjwa huruma. Yaani we acha tu.
 


yaani mie sasa hv ht nikisikia siongei nimeamua kulea wanangu baas

yaani wanaume ukiwaendekeza hutokua na amani wala furaha ktk maisha yako
mi nshamwambiaga mmoja huyo mtu ni mme wangu na hapa asubuhi ametoka kwangu tumelala wote we hizo simu za usiku hatopokea ht kidogo labda nisiwepo
anakudanganya tuu na sitoondoka leo wala kesho bibie
na mpigie simu muambie mkeo fulani kanipigia simu kaniambia hv
km umetembea nae au umeruka nae anakudanganya huyo..!!
vidada vinadanganywa sana

mwisho wa siku ndo km hvyoo unatelekezwa na mtoto yupo kwa mkewe
mwanaume bwana wa kuzaa nae tu akakuachia watoto usitegemee km atakuhudumia km atakavyomhudumia mkewe ndani

labda umroge...!!
 
Huu sio msiba bali ni aibu.Wala sioni kitu cha kufurahisha bali kuhuzunisha.Huyu mwanaume alikuwa mtu wa aina gani? Aibu gani hii? Hata aamke leo je,ataweza kukabiliana na aibu hii? Amemkosea sana mke wake.Haya mambo yangekuwa siri yake na sio kwenye jamii huku inajulikana kaoa na familia
Ulimbukeni mwingine sio na pesa za haraka.
 
kweli kabisa kula like mkuu
 

na ndo ilivyo
 
Dinazarde nakumbuka ulishawahi kumuasa humu akae mbali na Lilu yasijemkuta ya Kanumba,hakukusikia nae kafa kitatanishi

Jamanii mapenzi matamu na asali haionjwi mara mbili
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption

Tatizo hakomi anafikiri sifa ataishia pabaya sijui kwanini hajifunzi huyu adunje.
 
Jamani lulu karudi ig na bonge la post!
Mwenyewe anakwambia vogue in my hands.
Kweli tabia ni kama ngozi.Akiongelewa atasema kaandamwa.
Inawezekana wala hakupewa vogue, sasa kuna haja gani ya kuropoka ovyo.
Nmeshindwa kuweka caption

anatumia id gani IG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…