Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana

Hiyo stuli sijui ilikua ya aina gani aiseee... mtu akifariki ghafla inasikitisha pia
 
Nakwambia lulu ataliaa weee akimaliza msiba tu kimyakimya atakuja kukanusha kwamba hakuwa na mahusiano na huyo mtu na wala hamjui!!chezea lulu

Acha tu shoga.Ila nasikia kapanic kwelikweli!
Vurugu zile alizokua nazo sijui zitaisha au lah? Maana wenzetu hawatabiriki si ajabu akajitokeza mwingine wa 'kumfadhili'.
 
Nasikia huyu jamaa pia alikuwa BILLIONAIRE According na Le Mutuzz
 
unafiki ndo una endesha dunia,kuanzia kwenye politics,uchumi,biashara na kwny jamii from intrnatnal level to national level.
 
Una uhakika na ulichopost?...una muhukumu lulu ww kama nan?...lulu ni binadamu kama sisi unategemea atakua katika hali gan wote tukimuandama?..ni vyema kuacha ushabiki usio na maana
 
Mbn atachizika....
Icho kizygot kitaporomoshwa fasta km damu ya mwezini...Hahahahaaaaa. ...hapana chezea watoto wa mujin.
Akishakuw kapi km wema aka tasa aanze kulialia nakutafta makanisa ya ..........mbashalize.....
 
Una uhakika na ulichopost?...una muhukumu lulu ww kama nan?...lulu ni binadamu kama sisi unategemea atakua katika hali gan wote tukimuandama?..ni vyema kuacha ushabiki usio na maana

umechafukwa!
 
Kwani alichosema uongo?
 
Acha tu shoga.Ila nasikia kapanic kwelikweli!
Vurugu zile alizokua nazo sijui zitaisha au lah? Maana wenzetu hawatabiriki si ajabu akajitokeza mwingine wa 'kumfadhili'.

Tenaa!!hii mijanaume yetu itamfata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…