Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Alikua amekalia meza y kioo hom kwake mbezi beach ghafla meza ikavunjika kioo kikamkata mshipa mkubwa kwenye paja na kingine kikamchoma tumboni blinding ilikua n kasi hosp wakashindwa okoa maisha yake.ni kifo cha ghafla sana
Hiyo stuli sijui ilikua ya aina gani aiseee... mtu akifariki ghafla inasikitisha pia