Ana adabu au ana mapepo yanasumbua kichwani, huwezi andika hivyo kwa mtu hakuwa mumeo na mkewe angali yupo.
hata angeacha mtambo wa kufyatua hela chumbani usingeondoa maumivu kwa mkewe kila anapowaza usaliti jamaa aliokuwa anamfanyia.
mwanamke hatakuwa na shida ya pesa kwa namna jamaa alivyoliwekeza ila atakuwa akiuumizwa sana na kivuli cha lili-lulu
Geniveros huyu mtu kaacha nyumba z kutosha dar 15 na acc ya maana so family itaishi vizuri thou baba hayupo
Mume mumeo tu hy iwejemdada ana miaka 36 hana mchumba na sio kwamba vidume havimtaki bali anajiona kwa uzuri wake angestahili kuwa na bilionea na sii kuwa na mkaka wa kawaida nayejiheshima mwenye kipato halali
wengine mapepo yanawasumbua
mimi ni mcharuko kikweli ila nina mipaka ambayo zivuki hata kidogo,
najielewa kuwa lazma niwe na mwanaume wa kuwa mume wa kubembelezana na sio kupanikishwa na waume za watu.
Mme wa mtu staki mahusiano nkizidiwa tamaa ya fedha ni hit and run na sio ajiwekeze kwangu kuniharibia mume mtarajiwa
hata angeacha mtambo wa kufyatua hela chumbani usingeondoa maumivu kwa mkewe kila anapowaza usaliti jamaa aliokuwa anamfanyia.
mwanamke hatakuwa na shida ya pesa kwa namna jamaa alivyoliwekeza ila atakuwa akiuumizwa sana na kivuli cha lili-lulu
sijamzuia mtu wangu kuchepuka bali nsichotaka ni kuwa na nyumba ndogo
hana adabu nayeye ht kidogoMchepuko mwingine unamachungu.....
Ila angalau huyu ana adabu kwa mke na watoto...
Watazimiss sana fedha za bwerere na madini......
jinga hili nalo linatafuta followersJamani yani hapa anamchokoza mke wa marehemu tu.Ivi utoke na mme wa mtu, bado ugombane na michepuko yake alafu hapa unajifanya unachungu naye sana??
Kaah ingekua siri yake tu huyu poyoyo.
Inaonekana jamaa alimdharau sana mke wake kwa michepuko yake,haiwezekani michepuko inakuwa na nguvu namna ile,mtu anafikia hatua ya kuweka cheni na heleni za tanzanite alivyonunuliwa na mme wa mtu,ndo maana huyu seki kafa,maana angeishi kwa kweli mke wake angeumia zaidi na zaidi,yaani alikuwa hana dalili za kuacha umalayando maana alikua kicheche jeuri ya fedha
ngoja akakutane na MUNGU wake sijui atamuambia nn kwa hayo aliyoyafanya duniani
Inaonekana jamaa alimdharau sana mke wake kwa michepuko yake,haiwezekani michepuko inakuwa na nguvu namna ile,mtu anafikia hatua ya kuweka cheni na heleni za tanzanite alivyonunuliwa na mme wa mtu,ndo maana huyu seki kafa,maana angeishi kwa kweli mke wake angeumia zaidi na zaidi,yaani alikuwa hana dalili za kuacha umalaya
Yalishatokea imebadi story tu huo usaliti wa lulu ndio unaonekana leo cku zote hamkusema
Inaonekana jamaa alimdharau sana mke wake kwa michepuko yake,haiwezekani michepuko inakuwa na nguvu namna ile,mtu anafikia hatua ya kuweka cheni na heleni za tanzanite alivyonunuliwa na mme wa mtu,ndo maana huyu seki kafa,maana angeishi kwa kweli mke wake angeumia zaidi na zaidi,yaani alikuwa hana dalili za kuacha umalaya
kabisa maana hapo anatakuwa na uhakika kuwa yupo kaburini.Jamani hapana nimeona picha sijui lulu nae kaweka msiba kwake?yaani ht we hilo umeliona eehh
na sasa hv huyu mama atakua na amani ya nafsi na atarelax na kunenepa pia
maana mara nyingi mijanaume namna hii ikifa wake zao ndo wanakua huru kimawazo
umeona eeh,yaani inauma sana,itakuwa alimdharau sana mke wake,ndo maana wana nguvu hadi ya kiweka vidani vya tanzanite kwenye insta.Kwa kweli alizidiYaani jinsi hawa makahaba wakina husna wanavyopost hizi picha na mineno yao inazidi kutia hasira sana.Sipati picha mke alivyochukia
tulikua hatumjui na lulu ndo alijiexpose sana na ma selfie
full kujiona yy ndo yy
sasa hapo wajomba na kina baba mkubwa na wadogo wataanza kungalia mali,hawahusiki hata kidogo,ila mke nae angefight amzike hapo hapo kwake tegeta si wana eneo kubwa?wajomba wamepeleka msiba dodoma ili labda wafaidi rambirambi.Ila Seki ilikuwaje akakalia meza ikavunjika?mbona hizo meza huwa ni ngumu sana.wakati anakalia hiyo meza mke wake alikuwepo?Kufa kila mtu atakufa cku yke ikifika seki kafa ila kuna ki2 kinaonekana kua c shwari ndgu upande w baba n wajomba.cz marehemu kalelewa n uncle wke ndio mana imebidi uncle amzike dodoma alipokulia,kuna vi2 cwezi ongea hpa dunia wote tunapita tu
Ndio shida y kua n vinuka mkojo ukiwa n mwanamke aged hawezi fanya upuuzi huo istoshe seki alikua m2 w kujificha sana hata lulu alikua akija ar huwezi mwona.ngoja niende viwanja vya li mbebezz nami leo nipige mapicha kwenye jiji lenu
kabisa maana hapo anatakuwa na uhakika kuwa yupo kaburini.Jamani hapana nimeona picha sijui lulu nae kaweka msiba kwake?
hahaaa eti yupo kaburini
turushie mapicha hayo jamani tujionee video mwaka huu
mchepuko kuweka tanga hahaaa
eeh MUNGU eeeh
umeona eeh,yaani inauma sana,itakuwa alimdharau sana mke wake,ndo maana wana nguvu hadi ya kiweka vidani vya tanzanite kwenye insta.Kwa kweli alizidi
Ndio shida y kua n vinuka mkojo ukiwa n mwanamke aged hawezi fanya upuuzi huo istoshe seki alikua m2 w kujificha sana hata lulu alikua akija ar huwezi mwona.ngoja niende viwanja vya li mbebezz nami leo nipige mapicha kwenye jiji lenu
yaani wanaume hawa
wazuri pale wanataka kumwaga tu maji yao meupe ila dah wana roho za kinyama hv alikua anakosa nn kwa mkewe...