Yani aga khan hawana utaalamu wa kutibu mshipa uliokatwa na kioo..mbona inatisha hivyo hadi nimetetemeka...daaa yani ukiangalia video za iraq watu wanapigwa risasi na wanafanyiwa kwenye ambulace matibabu ya kila aina leo hii hospitali kubwa kama aga khan isiwe na utaalamu.!!!!
Hivi kweli umeona jeraha la marehemu alivyochinjwa,?? Kioo cha namna gani kinaweza kumkata mtu kwa stail ile?? Kimemkata kuanzia mwanZo wa ubavu hadi kiunoni kwanza kwa kunyooka me bado najiuliza,!!! Hakikukita bali kimechinja, na inaonekana sehemu nyingine nyuzi zinaachia yaani anashonwa nyuzi zinaachichia,. Bado naona hicho kioo ni cha maajabu.
Mjombake ndo anajua kilichomtokea Mara wengine mshipa wa shingo.
Naomba niweke sawa hapa, hata mjomba wake hakuwa eneo la tukio. Mjomba anakaa karibu na marehemu, kulikuwa na madogo flan ambao marehemu anakaa nao. Ilipotekea hilo tukio wakakimbilia kwa uncle kwenda kuomba msaada, walimkuta mke wa mjomba wake. Hao ndiyo waliotoa msaada wa karibu kwa marehemu, na Seki picha nyengine amejipiga yeye mwenyewe, marehemu alijichukulia kama vile hajaumia sana!
Majeraha yapo kwenye paja na kidonda kikubwa kipo tumboni, hakuchomwa shingoni.
Duh kwa hiyo wangetaka mwili uchunguzwe lazima mjomba angekuwa na lakujibu.
hamna mapenzi hapo mkuu.mtoto tapeli tu huyu.
Mana hizi Habari Zina changanya kila mtu na la kwake ndo mana nikimuuliza Asante kwa ufafanuzi
Seki alikuwa mtu wa karibu sana na familia yangu lakini zarau zake na tabia chafu zilifanya tujitenge naye, siwezi tu kuweka picha ya marehemu hapa cos jeraha lake kwa kweli linatisha na kutatanisha pia familia hawatapenda, mume wangu alienda kumwona akanirushia picha.
Naomba niweke sawa hapa, hata mjomba wake hakuwa eneo la tukio. Mjomba anakaa karibu na marehemu, kulikuwa na madogo flan ambao marehemu anakaa nao. Ilipotekea hilo tukio wakakimbilia kwa uncle kwenda kuomba msaada, walimkuta mke wa mjomba wake. Hao ndiyo waliotoa msaada wa karibu kwa marehemu, na Seki picha nyengine amejipiga yeye mwenyewe, marehemu alijichukulia kama vile hajaumia sana!
Majeraha yapo kwenye paja na kidonda kikubwa kipo tumboni, hakuchomwa shingoni.
huo ndo utata wenyewe...kuingia chumba cha upasuaji unacheka,kutoka umekufa.
Hizi hospitali zetu bure kabisa. Kabla ya kumshona mgonjwa ilitakiwa wahakikishe yuko stable. Vital signs zote ziko zawa hicho ndo kitu cha kwanza. Then ndo wamshone. So wangemwekea damu ya kutosha akiwa stable ndo ashonwe. Pia huko nyumbani alipoumia angefanya huduma ya kwanza kuzuia bleeding. Wangemfunga hata na mashuka. Ukiapply pressure usually the bleeding stop. Maskini kumbe hiki kifo kingeweza kuepushwa ni vitu vidogo.vidogo tuuu ama kweli siku yako ikifika ndo ntolee...apumzike kwa amani
hizi meza za vioo hizi majanga
Na ajiendee kwa amani. Yaani inakera aisee. Huyu mama Mungu amsimamie aendeleze chochote alichobaki nacho kwa manufaa ya wanae na yeye binafsi. Yaani hata asilie lie kisa mume kafa. Afadhali kilio chake kimepunguzwa maana ukute alikuwa analia hajui mume boxer kavulia wapi afadhali sasa ana uhakika kuwa yuko na boxer yake kaburini. Disgusting