Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Matibabu ya tanzania ni tia maji tia maji......

Yani aga khan hawana utaalamu wa kutibu mshipa uliokatwa na kioo..mbona inatisha hivyo hadi nimetetemeka...daaa yani ukiangalia video za iraq watu wanapigwa risasi na wanafanyiwa kwenye ambulace matibabu ya kila aina leo hii hospitali kubwa kama aga khan isiwe na utaalamu.!!!!
 
Hivi kweli umeona jeraha la marehemu alivyochinjwa,?? Kioo cha namna gani kinaweza kumkata mtu kwa stail ile?? Kimemkata kuanzia mwanZo wa ubavu hadi kiunoni kwanza kwa kunyooka me bado najiuliza,!!! Hakikukita bali kimechinja, na inaonekana sehemu nyingine nyuzi zinaachia yaani anashonwa nyuzi zinaachichia,. Bado naona hicho kioo ni cha maajabu.

Naomba nikujibu hivi, kweli jelaha lilikuwa kubwa sana. Zile nyuzi 3 ambazo unaziona kwny picha, zilishonwa zahanati ya kwanza ambapo walienda kupata huduma ya kwanza. Walishona nyuzi 3 pia wakamchoma sindano ya kuzuia damu isitoke kwa kasi, walipopewa huduma ya kwanza wakaambiwa waende kwny hospitali kubwa. Walifika huko hospitali na wakati akiwa kwny chumba anaendelea kushonwa ndipo mapigo ya moyo yakawa yanashuka. Pamoja na jitihada za daktari, haikusaidia kuokoa uhai wake, alikuwa amepoteza damu nyingi sana
 
Mjombake ndo anajua kilichomtokea Mara wengine mshipa wa shingo.

Naomba niweke sawa hapa, hata mjomba wake hakuwa eneo la tukio. Mjomba anakaa karibu na marehemu, kulikuwa na madogo flan ambao marehemu anakaa nao. Ilipotekea hilo tukio wakakimbilia kwa uncle kwenda kuomba msaada, walimkuta mke wa mjomba wake. Hao ndiyo waliotoa msaada wa karibu kwa marehemu, na Seki picha nyengine amejipiga yeye mwenyewe, marehemu alijichukulia kama vile hajaumia sana!
Majeraha yapo kwenye paja na kidonda kikubwa kipo tumboni, hakuchomwa shingoni.
 
Mana hizi Habari Zina changanya kila mtu na la kwake ndo mana nikimuuliza Asante kwa ufafanuzi
 
Duh kwa hiyo wangetaka mwili uchunguzwe lazima mjomba angekuwa na lakujibu.

MumE WAko AjAachIwA vOguUu na YeyE??
embu MuuliZee nA yeyEe kamA KaaChiWa mzIgo coZ nimEsikIa mArafiKi zaKe WalIkuWa waNapeWa izo kamA frienDs wAke Wa KaRbUuu
 
Mana hizi Habari Zina changanya kila mtu na la kwake ndo mana nikimuuliza Asante kwa ufafanuzi

Ni kweli kwenye mitandao kila mmoja anaongea la kwake, wengine wanasema alipelekwa agha kan hospital. Wakati si kweli, kwa jeraha kama lile wala huwezi waza hospitali ya mbali. Kuna mengine yanazungumzwa ambayo si ya kweli, lakin inabidi niwe mtazamaji tu.
 
Seki alikuwa mtu wa karibu sana na familia yangu lakini zarau zake na tabia chafu zilifanya tujitenge naye, siwezi tu kuweka picha ya marehemu hapa cos jeraha lake kwa kweli linatisha na kutatanisha pia familia hawatapenda, mume wangu alienda kumwona akanirushia picha.

Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.

Hivi unadhani Mke wa marehemu akijua hayo atafurahi?

Pili yaani family friend unaweza kushinda mtandaoni kupiga soga LA kumkashifu huyo family friend wenu!!

Tatu huyo mume wako anapata wapi guts za kupiga Picha ya marehemu tena bila aibu.
 
Naomba niweke sawa hapa, hata mjomba wake hakuwa eneo la tukio. Mjomba anakaa karibu na marehemu, kulikuwa na madogo flan ambao marehemu anakaa nao. Ilipotekea hilo tukio wakakimbilia kwa uncle kwenda kuomba msaada, walimkuta mke wa mjomba wake. Hao ndiyo waliotoa msaada wa karibu kwa marehemu, na Seki picha nyengine amejipiga yeye mwenyewe, marehemu alijichukulia kama vile hajaumia sana!
Majeraha yapo kwenye paja na kidonda kikubwa kipo tumboni, hakuchomwa shingoni.

Afadhali ume-clarify hilo. Kuna wengine wapo karibu na familia ya marehemu naona wanataka kumuangushia jumba bovu Mke wa marehemu (obvious wivu tu).
 
Mazingira ya kifo cha marehemu Seki, wala hayana utata kama watu wanavyodhan. Ndiyo maana hakuna ndugu wala rafiki wala mke wake, aliyesema mazingira ya kifo yachunguzwe. Na marehemu amepelekwa hospitali zote mbili alikuwa anapiga story fresh, tena akiwa ameshikilia simu zake. Mauti yamemfika akiwa kwny chumba cha upasuaji, akishonwa majeraha yake. Kama kunge kuwa na mtu aliye sababisha hayo majeraha, angewaeleza hao watu aliokuwa anaongea nao.
 
huo ndo utata wenyewe...kuingia chumba cha upasuaji unacheka,kutoka umekufa.

Nilijaribu kuweka sawa pale wanaposema mjomba wake aulizwe vizuri, wakati hakuwepo karibu eneo la tukio wakati linatokea. Nadhan ni hospitali ndiyo walichelewesha kumuongezea damu, maana yale majeraha yalimsababishia kupoteza damu nyingi sana. Hasa lile la kwny paja ulikuwa umekatika mshipa mkubwa wa damu.
 
Hizi hospitali zetu bure kabisa. Kabla ya kumshona mgonjwa ilitakiwa wahakikishe yuko stable. Vital signs zote ziko zawa hicho ndo kitu cha kwanza. Then ndo wamshone. So wangemwekea damu ya kutosha akiwa stable ndo ashonwe. Pia huko nyumbani alipoumia angefanya huduma ya kwanza kuzuia bleeding. Wangemfunga hata na mashuka. Ukiapply pressure usually the bleeding stop. Maskini kumbe hiki kifo kingeweza kuepushwa ni vitu vidogo.vidogo tuuu ama kweli siku yako ikifika ndo ntolee...apumzike kwa amani
 
Ahsante kwa kuelewa mazingira yalivyokuwa, ila hapo kwenye huduma ya kwanza ndivyo walivyofanya. Walitoka nyumban akiwa amefungwa kanga kwnye hivyo vidonda, wakawa wameenda kwny zahati ya jiran ili kupata huduma ya kwanza, walipofika pale wakamsafisha kidonda pia wakamshona nyuzi 3 kwenye kidonda cha tumboni. Maana kilikuwa kipo wazi sana, pia akapatiwa dawa ya kuzuia damu kutoka kwa kasi. Baada ya hapo ndipo wakaelekea hospitali ya pili.
 
Na ajiendee kwa amani. Yaani inakera aisee. Huyu mama Mungu amsimamie aendeleze chochote alichobaki nacho kwa manufaa ya wanae na yeye binafsi. Yaani hata asilie lie kisa mume kafa. Afadhali kilio chake kimepunguzwa maana ukute alikuwa analia hajui mume boxer kavulia wapi afadhali sasa ana uhakika kuwa yuko na boxer yake kaburini. Disgusting

...........Aisee mbona hatari!! Yaani marehemu hajasifiwa hata kidogo, kila mtu naona anamponda humu.

Ila inatupasa kuishi vizuri hapa duniani, maana hatujui siku wala saa.......tunatembea na mauti muda wote.
 
Back
Top Bottom