mimi niliziogopa muda mrefu ila ni kwa zile angle zake ,ni hatari kwa watoto.Ila sikuwahi kuwaza kama ikikaliwa yaweza vunjika,but niliondoa maana watoto wakikimbizana ni kama wanakwenda kujigonga,niliamua kuifutilia mbali kabisa.Ingawa ndiyo mara ya kwanza kwangu kusika tukio kama hili, lakin hadi nimeziogopa hizi meza.
una hasira mkuu,kwa nini?yaan hiki ki lulu hakijali hata waume za watu. nenda msibani pumbavu zko
Nimsifie baada ya kufaa?? Nirudishe urafiki baada ya kufaaa?? Tulisha tupa kule, mke haitaji faraja anatakiwa Ashukuru Mungu, alimfahamu mume wake vilivyo,. Picha ilinirushia mimi mke wake kunionesha jeraha lilivyo na hakurusha bublic.marehemu alikuwa na guts zaidi ya hiyo.so kafariji familia ndugu mimi sio mnafiki na siwezi kuonyesha unafiki kwa marehemu.Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.
Hivi unadhani Mke wa marehemu akijua hayo atafurahi?
Pili yaani family friend unaweza kushinda mtandaoni kupiga soga LA kumkashifu huyo family friend wenu!!
Tatu huyo mume wako anapata wapi guts za kupiga Picha ya marehemu tena bila aibu.
Ninyi ndiyo family friend wanafiki. Hakuna MTU perfect, katika kipindi hiki kigumu ulitakiwa wewe na mume wako muwe msaada wa faraja kwa familia yake lakini matokeo yake mnaenda hospital kupiga Picha mwili wa marehemu na kurushiana Watsapp.

Binadam tunatakuwa tuwe wanyenyekevu kwa Mungu wakati wote na ukiwa myenyekevu utawaheshimu watu wote ikiwemo familia yako.Mpe Mungu nafasi kwenye maisha yako,kila unapoamka mshukuru Mungu mwambie asante na mwombe ulinzi wake kwa wiki zote za maisha yako.Roho ya mauti inapokujia(kwa wake wanaoamini kuwa SI vifo vyote Ni mapenzi ya Mungu mama Mimi)Ni rahisi kuikemea kama Hezekieli aliambiwa utaishi Bali utakufa alimgeukia Mungu na kumwongezea siku za kuishi.Si kila kitu majanga,wakati anaudumiwa angeendelea kumwomba Mungu rehema na kukemea hiyo roho ya mauti na siyo kumpiga/kujipiga picha.Naomba tujifunze hapa kwa sisi tuliobaki duniani jinsi ya kumsema Mungu mbele na sio pesa zetu,au mjomba au dactari uku unakimbizwa hospital piga maombi tuna msg watu waombe kwa ajili yako.Watakao elewa Ni wachache.Ila wanadam tumemdharau Mungu sana
mtoto ana kinyama tena ni kibaya "kimenengu" mbona co tatizo kubwaaa anitafute kupitia hapa,mliokuwa msibani mpeni taharifa iz msiba ukiisha tu anitafute kupitia jf.
Ndugu yangu naona unajaribu kuzuia mafuriko kwa mkono... sa hivi hiyo ndio imebaki habari ya midomoni kwa watu...
Mke atalia na mengi kwa wakati huu
Official_lulumichael.
yaani mke mnzuri kweli,sijui alifuata nini kwa zakayo lulu aka andunje
Mbona simuonii hakuna pichaa
Hakapo..hizo ni fake account. ..kamefuta picha zoteee