Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

Mama Mdogo ni nduguyo? au nyumba kubwa?

you seem to have similar minds!:yo:
 
Last edited by a moderator:

Upo juu mngekuwa wengi hivo ulimwengu bomba stress zisingekuwepo
 


Yani pesa ni kizungumkuti...akati nasali mume wangu afanikiwe...wakati mwingine nafurahi anapokuwa na pesa ya kututosha sie wenyewe...

Maana bora lipi?...pesa ndeeefu mume haonekani nyumbani au furaha na amani maishani mkiwa na pesa kiasi...

Mume akinambia cheo kimepanda nakuwa na mixed feelings...furaha na woga...maana mimacho inazidi kuongezeka ya hawa so called michepuko...
 

exactly mamy usemavyo sometimes sitamani tuendelee zaidi ya hapa tulipo
maana unamuombea mema ili aje kunufaisha viruka njia wasiotaka kutumia ht akili zao kidogo za kuvaa nguo za ndani kujishughulisha na biashar yoyote ile ya kuwaingizia kipato

sijui ht tufanyeje
 
Mwanajamiione, sikubali wala sikatai mawazo yako, ila naomba tu nikukumbushe kitu kimoja, nitakupa na mfano kua, mungu ha bipiwi. Yaani ukim beep mungu, lazima akupigie. Inategemea kilio chako kikoje wakati wa kum beep. Huyu mke wa Secky alimlilia sana mwenyezi mungu juu ya mahusiano ya mumewe na huyu mtoto. Mungu akasikia kileo, akafanya kile alichoona kitamuweka huyu mama kwenye amani. Nakupa mfano mmoja tu, japo nina mingi. Kuna ajali moja iliwahi kutokea barabara ya moshi-arusha miaka kadhaa iliyopita, akafa mama na watoto wake wane au watano, sikumbuki vizuri, baba akapona lakini alilazwa. sina hakika kama unajua story behind this tragic accident? wanandoa hawa walikua hawana uelewano mzuri, mara nyingi walikua na kesi kanisani kujaribu kusuluhisha, issue ni baba kuchepuka na kuzaa hovyo. alikua na pesa zake na maduka mengi moshi na arusha. kila siku wanapomaliza kesi zao kanisani kwa mchungaji/padre, yule neno lake lilikua "sitaki kufa niache watoto wangu wateseke, bora mungu anichukue siku moja na wanangu". Alikua akiomba hivyo kila wakati, na mungu vile hajaribiwi, alitekeleza mama alivyotaka. Ile ajali ilimuondoa yeye na watoto wake wote kama alivyokua akiomba. Padri/mchungaji ndio alichaguliwa na wanafamilia kum face yule baba akiwa hospitali kumuambia familia yake is no more, maana kutwa alikua anataka kujua wanaendeleaje. Hivyo, pamoja na kwamba tunaondoka duniani kwa ahadi, lakini kuna ahadi nyingine inabidi mwenyezi mungu azi adjust kutokana na matokeo.
 
Mke wangu umetusema sana wanaume mpaka natetemeka. Mchezo wa kuchepuka nimeacha kuanzia leo.

Next weekend tunaenda Dodoma Hotel tuka-renew ndoa yetu. Na nyaraka zote za nyumba yetu Kisasa nakukabidhi.

Hahahaaaa jf naipenda sana
 


Sijui michepuko ikipitia nyuzi kama hizi inajisikiaje!! Lakini itakuwa imekufa ganzi tu wala haijali mnajadili nini...michepuko ni laana tu popote ilipo.
 

Hii habari naikumbuka sana yule baba alikuja kumuoa nesi aliyekuwa anamhudumia! Japo nilikuwa sijui that story behind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…