kwa hiyo HunatuHambia kwamba lulu huwa Hanatoa roho za watu Hakiwa naHO kimapenzi
Kama kumlilia Mungu itahusisha mume kufa, hata achepuke mara elfu sitakaa nimlilie.
Uji.nga mtupu, watoto wakose malezi ya baba yao kisa wivu wa mapenzi?? Si bora kutengana?! Women are wicked!
Hata urithi mali kiasi gani, kama huna dyudyu la pembeni yako bure kabisa, seuse ulilochuma nalo mali.
Kwa mwanamke anaye,furahia mumewe huwezi furahia kifo cha seky in the name ya kumkomoa lulu. Siku si nyingi lulu atamreplace marehemu na kitu labda kikali zaidi, keshazoea kuwa mchepuko.
Haya huyu mama aje apate replacement ni lini?
Na hata akimpata wataoana ili ku-replace status alokuwa nayo?
Mkuu elli mchepuko unaliwaza vizuri ukijua wewe ni mtamu kma mcharo
cacico kinachopendwa bongomovies ni shekeli na sivinginevyo kwakuwa wanapenda kuwa na highlife wakati vyanzo vya mapato ni finyu hivyo njia rahisi ni kutafuta wenye nazo bila kujali status zao kifamilia
Mkuu na wewe ni muumini wa michepuko? Nini unachopata huko ambacho mkeo hawezi kukupa?
Haya sasa "Ole wenu muendelee kuongea"...Lol
ila Lulu anajua kujali mwanaume,sijawai wekewa miguu hivyo
Money Stuna nafasi iko wazi kwa Lulu fanya uwahi mapema nawe uwekewe miguu bro
Chezea lulu wewe
When "ay" is omitted or included in "okay" it'll change nothing but "h" in "ana" turns everything upside down!!
[/CENTER]
Hawa wasichana wa bongo movie kwanini wasiwaambie Hao mabilionea wao wawajengee nyumba badala ya kuwapangia nyumba sinza na mbezi beach.
Haka ka toto katakuja lizwa asisahau maisha yake na hii tabia yakuchukua waume za watu,mamake mzazi kama ana shindwa kumkanya mwanawe atakuja juta yakimkuta ya kumkuta..........